Sitaki kuwa mtumwa ndio maana na hoji, natumia ufaham wangu bila mipaka kwa yanayohusu nchi yangu.Umeshasema sio lazima kwa wao kuhudhuria halafu tena unajikanyaga kanyaga tu hapaa. Acha utumwa wewe mjinga. Jiamini na nchi yako.
Wamechoshwa na utawala mbovuKwa wale tuliofatilia hotuba ya Mh. Rais mpaka mwisho katika hotuba ya ufunguzi wa Bunge na kusikiliza wageni mbali mbali wa Jumuiya za Kimataifa wadau wa maendeleo pamoja na wawakilishi na mabalozi wa mataifa mbalimbali, hatujaona ushiriki wa balozi wa Marekani, Ufaransa na Ubelgiji.
Mabalozi hawa ambao kwa pamoja walimsaidia na kumsindikiza Tundu Lissu mpaka uwanja wa ndege kwa UPAMOJA WAO HUO HUO hawajahudhuria ufunguzi wa bunge leo huku mabalozi wa nchi nyingi za Afrika wakihudhuria.
Najua sio lazima wahudhurie lakini kutokuhudhiria katika hiki kipindi kwa haya mazingira kunafikirisha.
Unadhani Tanzania imeanguka machoni mwa hizi nchi au wameogopa kuonekana pande mbilimbili leo wanaunga mkono kesho wanakosoa hivyo wameamua wabaki katikati au katika kimya kinene kuna msindo mkubwa?
Mbon
Mbona mnawaza sana mambo ambayo hayana mantic?
Kwani.wasipohudhulia.wnafanya tanzania isifanye mambo yake?
Au hayo mataifa ndo yana roho za nchi za kiafrika bila wao nchi haziendi?
Tundu yupo huko kwao kupitia kwake watakuja tu
Na hilo Bunge zima.Wanamuona Magufuli si rais halali wa Tanzania.
Badilika nduguSitaki kuwa mtumwa ndio maana na hoji, natumia ufaham wangu bila mipaka kwa yanayohusu nchi yangu.
Mtumwa wewe apo unaeona kila kitu ni sawa.
Hio ndio SIFA kubwa ya mtumwa.
Kila kitu kwake sawa tu.
Mkuu, umeongea ukweli usiopendwa na wengi!Badilika ndugu
Wale wapo kwa faida ya nchi zao
Mawazo ya kuwatukuza wazungu yamepitwa na wakati