Je, huu ni mwanzo wa anguko la Tanzania kidiplomasia? Kuna nini nyuma ya pazia?

Je, huu ni mwanzo wa anguko la Tanzania kidiplomasia? Kuna nini nyuma ya pazia?

Hawa nao ni sehemu ya viongozi wa EU mnapoenda kujidhalilisha!?

Mnaenda EU na Marekani mkiongozwa na Antipasu kujidhalilisha, kuwa ninyi hamna huwezo wa kujiamulia mambo yenu mpaka mpangiwe!! Halafu watu wana'bana' kiungo kilicho kati ya mdomo na macho na kusema "demokrasia na haki" wakati hawataki kutimiza wajibu wao kama raia wa nchi hii.!!

Mawazo yao nikuvizia vya "kunyonga" hawataki vya "kuchinja"! Mnasitaajabisha sana ninyi mnapodai mna akili kubwa!
Nani aliwadanganya mvurunde uchaguzi, na bado povu litawatoka. Tulieni sasa mfanye hayo maendeleo. Nawaambia hamtamaliza miaka miwili bila mpasuko ndani ya lichama lenu mlizoea kuonea upinzani sasa hawapo mtaoneana wenyewe kwa wenyewe
 
Kwa wale tuliofatilia hotuba ya Mh. Rais mpaka mwisho katika hotuba ya ufunguzi wa Bunge na kusikiliza wageni mbali mbali wa Jumuiya za Kimataifa wadau wa maendeleo pamoja na wawakilishi na mabalozi wa mataifa mbalimbali, hatujaona ushiriki wa balozi wa Marekani, Ufaransa na Ubelgiji.

Mabalozi hawa ambao kwa pamoja walimsaidia na kumsindikiza Tundu Lissu mpaka uwanja wa ndege kwa UPAMOJA WAO HUO HUO hawajahudhuria ufunguzi wa bunge leo huku mabalozi wa nchi nyingi za Afrika wakihudhuria.

Najua sio lazima wahudhurie lakini kutokuhudhiria katika hiki kipindi kwa haya mazingira kunafikirisha.

Unadhani Tanzania imeanguka machoni mwa hizi nchi au wameogopa kuonekana pande mbilimbili leo wanaunga mkono kesho wanakosoa hivyo wameamua wabaki katikati au katika kimya kinene kuna msindo mkubwa?
Balozi wa USA yuko bze ktk maandalizi yakukabidhi ofis kwa atakaetumwa na JOE, Hawa kina mama wengine wa Belgium na wapi huko sjui, wenyewe hawajarudi tangu wamueskoti Shoga yule!
 
Back
Top Bottom