Je, huu ni mwanzo wa anguko la Tanzania kidiplomasia? Kuna nini nyuma ya pazia?

Je, huu ni mwanzo wa anguko la Tanzania kidiplomasia? Kuna nini nyuma ya pazia?

Umeshasema sio lazima kwa wao kuhudhuria halafu tena unajikanyaga kanyaga tu hapaa. Acha utumwa wewe mjinga. Jiamini na nchi yako.Acha

Acha ujinga mbona watu kanda ya ziwa na kanda zingine wanatahiriwa Kwa msaada wa walipa Kodi wa marekani kujiamini unakoongelea ni Kwa Aina gani?

Ktk mazingira ya kawaida kukatwa GOVI Kwa msaada ktk nchi yenye kila Aina ya mali ni aibu kubwa lakini viongozi hawa wanapokea tena Kwa mikono miwili na hapo jina hubadirika kutoka BEBERU hadi wadau wa maendeleo.

Kama unahoja ya kujiamini mwambie Magu siyo huyo uliemwambia.
 
Kitendo cha Lissu kusindikizwa na Mabalozi 3 wa US, Germany na Ubelgiji aisee kina tafsiri pana sana.... Kwamba nchi hizi 3 zimeshindwa kabisa kuiamini Serikali yetu hadi wamsindikize Raia kupanda ndege...

Hapa ndipo naposema kazi ya Kabudi ni kubwa mno, ningekuwa mimi naachana nayo!! kusumbuana uzeeni kisa nini bana...
 
Umeshasema sio lazima kwa wao kuhudhuria halafu tena unajikanyaga kanyaga tu hapaa. Acha utumwa wewe mjinga. Jiamini na nchi yako.

Inaonekana unachanganya kujiamini na kiburi. Hivi ni vitu viwili tofauti.
 
Sitaki kuwa mtumwa ndio maana na hoji, natumia ufaham wangu bila mipaka kwa yanayohusu nchi yangu.

Mtumwa wewe apo unaeona kila kitu ni sawa.

Hio ndio SIFA kubwa ya mtumwa.

Kila kitu kwake sawa tu.
😂😂
 
Aisee wache waende na kibaraka wao lissu. Tunawajua wao na mioyo ya yao. Tumepata elimu tosha toka kwa Tshombe na Mobutu seseko ikiwezekana waondoke kabisa
We jidanganye tu, yaani unajitifua dole mkun.duni halafu unanusa kutegemea harufu tofauti?!.
 
Huyu dikteta ndio anakwenda chini hivyo kama ilivyo kwa madikteta wengine wote.
 
Mbon
Mbona mnawaza sana mambo ambayo hayana mantic?
Kwani.wasipohudhulia.wnafanya tanzania isifanye mambo yake?
Au hayo mataifa ndo yana roho za nchi za kiafrika bila wao nchi haziendi?
Tundu yupo huko kwao kupitia kwake watakuja tu
Mkuu unaelewa kwamba hata huu mtandao unaotumia kumwaga povu lako umeletwa kwetu kwa hisani ya watu wa Marekani na bado wana u control?
 
Hata wakati anaapishwa wengi walohudhuria ni wawakilishi. Kimya knene chenye mshindo
Kwa hiyo ulita Trump awepo Dodoma wakati anahangaika na uchaguzi? Ulitaka Johnson awepo Dodoma wakati anaangaika na negotiation ya Brexit!? Ulitaka Macron awepo Dodoma wakati anatishio la wafanyakazi wa nchi yake wanakatwa vichwa huku bidhaa za nch yake zimesusiwa na baadhi ya nchi za Mashariki ya Kati? Ulitaka Putin awepo Dodoma wakati anaangaika kuwasuruhisha Azerbaijan na Armenia wasiendeleze umwagaji damu!?

Yaani viongozi wa nchi hizo huoni walikuwa na majukumu mazito ndiyo maana kwa umuhimu wa shughuli iliyokuwa Dodoma ndiyo maana walituma wawakilishi!?

Mnataka muelekezwe kwa staili ninyi watani zangu!?
 
Mkuu, umeongea ukweli usiopendwa na wengi!
Tanzania na Africa bila wazungu inawezekana

Tanzania na Africa bila Mungu, ndo haiwezekani abadani
Ni kwel.Japo tutaumia ila ifikd kipindi tuheshimu taratibu za watu.We are not perfect ila hw can we be kama kila kitu watakua wanatuingilia?
 
Wanamuona Magufuli si rais halali wa Tanzania.
Mawakala wa mashwetani utawajua tuu. Kutokuja kwao kwenye ufunguzi kumeathili nini sasa??. Wanaona aibu maana njama zao tushazing'amua mapema. Hata huyo kuwadi wao walidhani atakamatwa wakati wanamsindikiza, serikali haina tyme na kichaa. TUNA CHAPA KAZI TUU. VIVA T2020 JPM, KAZI INAENDELEA
 
Huna haja ya kuwaza hayo nyie subirini nchi isonge, mambo ya kukaribishana sebureni kwa sasa hayana maana.

Kikwete aliwazungukia kila mahali lakini bado hatuna barabara, maji, reli, ndege, mahospitali,umeme wala ajira za kutosha, sasa faida yao kuwazungukia na wao kuhudhulia hafla ilikuwa ina faida gani kwa mtamzania. Gwajima kasema hiyo hotuba hawataipenda sasa ulitegemea waje wakati wanajua juzi tu ndo wameanza kukimbiza waharifu. Hata wao wanona aibu.
kila rais alifanya sehemu yake hebu tuwaheshimu pia waliopita
 
CCM wamelewa mvinyo..nilishituka Japan walivyokemea uchaguzi kwa mara ya kwanza ni aibu sana
 
Naangalia CCM ilivyojipanga japo kiwizi lakini amejipanga sana namna ya kulikamua Taifa hili,kiutawala , kiufisadi na kisiasa. Hata hivyo wapinzani Wakiongozwa na Mbowe hawana safu ya kuongoza Taifa kubwa kama Tanzania .Taifa lisilo na mifumo imara. Taifa lisilo na taasisi huru za kidola.

Chadema wajipange upya kisiasa ili waaminike kukabidhiwa nchi.
Hakuna nchi inayoweza kukabidhiwa kwa wanaharakati. Ni hatari sana.

Lowasa na Summaye walijaribu kuishape Chadema iwe kama Chama cha siasa na kutumia uzoefu na ukaribu wao na viongozi mbali mbali wa Serikali na Dola ili chama hicho kijenge imani kwa wanasiasa wa CCM kuweza kuwapisha na kuwaachia Ikulu na funguo za Hazina.

Mbowe anajisanganya lakini ujweli ni kuwa Chama hicho kinahitaji uongozi mpya.
 
Kwa hiyo ulita Trump awepo Dodoma wakati anahangaika na uchaguzi? Ulitaka Johnson awepo Dodoma wakati anaangaika na negotiation ya Brexit!? Ulitaka Macron awepo Dodoma wakati anatishio la wafanyakazi wa nchi yake wanakatwa vichwa huku bidhaa za nch yake zimesusiwa na baadhi ya nchi za Mashariki ya Kati? Ulitaka Putin awepo Dodoma wakati anaangaika kuwasuruhisha Azerbaijan na Armenia wasiendeleze umwagaji damu!?

Yaani viongozi wa nchi hizo huoni walikuwa na majukumu mazito ndiyo maana kwa umuhimu wa shughuli iliyokuwa Dodoma ndiyo maana walituma wawakilishi!?

Mnataka muelekezwe kwa staili ninyi watani zangu!?
Kagame na Kenyatta walikuwa wapi? Niambie wewe mratibu shughuli za watu
 
Huyo wa marekani anawazia nafasi yake baada ya aliyemteua ndg trump kupigwa chini.
Wa uberigiji ndo makao makuu ya kibaraka wao.
Wa ufaransa alituma muwakirishi.
 
Kitendo cha Lissu kusindikizwa na Mabalozi 3 wa US, Germany na Ubelgiji aisee kina tafsiri pana sana.... Kwamba nchi hizi 3 zimeshindwa kabisa kuiamini Serikali yetu hadi wamsindikize Raia kupanda ndege...

Hapa ndipo naposema kazi ya Kabudi ni kubwa mno, ningekuwa mimi naachana nayo!! kusumbuana uzeeni kisa nini bana...
Kazi ya Kabudi ni rahisi sana.
 
Back
Top Bottom