Umeshasema sio lazima kwa wao kuhudhuria halafu tena unajikanyaga kanyaga tu hapaa. Acha utumwa wewe mjinga. Jiamini na nchi yako.Acha
Umeshasema sio lazima kwa wao kuhudhuria halafu tena unajikanyaga kanyaga tu hapaa. Acha utumwa wewe mjinga. Jiamini na nchi yako.
😂😂Sitaki kuwa mtumwa ndio maana na hoji, natumia ufaham wangu bila mipaka kwa yanayohusu nchi yangu.
Mtumwa wewe apo unaeona kila kitu ni sawa.
Hio ndio SIFA kubwa ya mtumwa.
Kila kitu kwake sawa tu.
We jidanganye tu, yaani unajitifua dole mkun.duni halafu unanusa kutegemea harufu tofauti?!.Aisee wache waende na kibaraka wao lissu. Tunawajua wao na mioyo ya yao. Tumepata elimu tosha toka kwa Tshombe na Mobutu seseko ikiwezekana waondoke kabisa
Yaaani hata sikuelewi sijui umeongea niniwe jidanganye tu, yaani unajitifua dole mkun.duni halafu unanusa kutegemea harufu tofauti?!.
Mkuu unaelewa kwamba hata huu mtandao unaotumia kumwaga povu lako umeletwa kwetu kwa hisani ya watu wa Marekani na bado wana u control?Mbon
Mbona mnawaza sana mambo ambayo hayana mantic?
Kwani.wasipohudhulia.wnafanya tanzania isifanye mambo yake?
Au hayo mataifa ndo yana roho za nchi za kiafrika bila wao nchi haziendi?
Tundu yupo huko kwao kupitia kwake watakuja tu
Kwa hiyo ulita Trump awepo Dodoma wakati anahangaika na uchaguzi? Ulitaka Johnson awepo Dodoma wakati anaangaika na negotiation ya Brexit!? Ulitaka Macron awepo Dodoma wakati anatishio la wafanyakazi wa nchi yake wanakatwa vichwa huku bidhaa za nch yake zimesusiwa na baadhi ya nchi za Mashariki ya Kati? Ulitaka Putin awepo Dodoma wakati anaangaika kuwasuruhisha Azerbaijan na Armenia wasiendeleze umwagaji damu!?Hata wakati anaapishwa wengi walohudhuria ni wawakilishi. Kimya knene chenye mshindo
Ni kwel.Japo tutaumia ila ifikd kipindi tuheshimu taratibu za watu.We are not perfect ila hw can we be kama kila kitu watakua wanatuingilia?Mkuu, umeongea ukweli usiopendwa na wengi!
Tanzania na Africa bila wazungu inawezekana
Tanzania na Africa bila Mungu, ndo haiwezekani abadani
Mawakala wa mashwetani utawajua tuu. Kutokuja kwao kwenye ufunguzi kumeathili nini sasa??. Wanaona aibu maana njama zao tushazing'amua mapema. Hata huyo kuwadi wao walidhani atakamatwa wakati wanamsindikiza, serikali haina tyme na kichaa. TUNA CHAPA KAZI TUU. VIVA T2020 JPM, KAZI INAENDELEAWanamuona Magufuli si rais halali wa Tanzania.
kila rais alifanya sehemu yake hebu tuwaheshimu pia waliopitaHuna haja ya kuwaza hayo nyie subirini nchi isonge, mambo ya kukaribishana sebureni kwa sasa hayana maana.
Kikwete aliwazungukia kila mahali lakini bado hatuna barabara, maji, reli, ndege, mahospitali,umeme wala ajira za kutosha, sasa faida yao kuwazungukia na wao kuhudhulia hafla ilikuwa ina faida gani kwa mtamzania. Gwajima kasema hiyo hotuba hawataipenda sasa ulitegemea waje wakati wanajua juzi tu ndo wameanza kukimbiza waharifu. Hata wao wanona aibu.
Kagame na Kenyatta walikuwa wapi? Niambie wewe mratibu shughuli za watuKwa hiyo ulita Trump awepo Dodoma wakati anahangaika na uchaguzi? Ulitaka Johnson awepo Dodoma wakati anaangaika na negotiation ya Brexit!? Ulitaka Macron awepo Dodoma wakati anatishio la wafanyakazi wa nchi yake wanakatwa vichwa huku bidhaa za nch yake zimesusiwa na baadhi ya nchi za Mashariki ya Kati? Ulitaka Putin awepo Dodoma wakati anaangaika kuwasuruhisha Azerbaijan na Armenia wasiendeleze umwagaji damu!?
Yaani viongozi wa nchi hizo huoni walikuwa na majukumu mazito ndiyo maana kwa umuhimu wa shughuli iliyokuwa Dodoma ndiyo maana walituma wawakilishi!?
Mnataka muelekezwe kwa staili ninyi watani zangu!?
Marekani na washirika wenzake wote wanamuona Putin ni raisi halali?Wanamuona Magufuli si rais halali wa Tanzania.
Kimya knene chenye mshindo!,angalia mbele wewe upigwe denda.Hata wakati anaapishwa wengi walohudhuria ni wawakilishi. Kimya knene chenye mshindo
Sio rais halali kwa uzinduzi wa bunge!! Loh. Usisahau kuwa walikuwepo jamaa wakati akila kiapo.Wanamuona Magufuli si rais halali wa Tanzania.
Kazi ya Kabudi ni rahisi sana.Kitendo cha Lissu kusindikizwa na Mabalozi 3 wa US, Germany na Ubelgiji aisee kina tafsiri pana sana.... Kwamba nchi hizi 3 zimeshindwa kabisa kuiamini Serikali yetu hadi wamsindikize Raia kupanda ndege...
Hapa ndipo naposema kazi ya Kabudi ni kubwa mno, ningekuwa mimi naachana nayo!! kusumbuana uzeeni kisa nini bana...