Je, huu ni mwanzo wa anguko la Tanzania kidiplomasia? Kuna nini nyuma ya pazia?

Mambo mazito ndugu..unakumbuka Arab spring ?sasa inakuja Swahili spring..Uganda daftari la wapiga kura limepelekwa The Hague kuhakikiwa...maweee
 
Mkuu, naomba nikujuze jambo ambalo ndio sababu kuu ya "AIBU" kwa hao wanafiki. Walitegemea kuona maandamano makubwa sana, dah kilichotokea sasa nimeamini watz sio watu wazuri.
 
Primitives, uncivilized, uneducated, unexposured vs educated, civilized, and matured
 
Rais Magufuli amekuwa Skunk Of the World...Lissu alikwishasema tangu 2017; Skunk ni mnyama flan hivi akipIta anaacha harufu mbaya vigumu kusimulia
 
Siyo kila kitu cha kuongea ongea tu kuchambua msicho kijua na kuacha kazi zenu

Punguzeni unafiki,majungu na ubaladhuri
 
Sitaki kuwa mtumwa ndio maana na hoji, natumia ufaham wangu bila mipaka kwa yanayohusu nchi yangu.

Mtumwa wewe apo unaeona kila kitu ni sawa.

Hio ndio SIFA kubwa ya mtumwa.

Kila kitu kwake sawa tu.
Hao ndio madodoki aliowasema Nyerere,wanafyonza kila kitu
 
Umeshasema sio lazima kwa wao kuhudhuria halafu tena unajikanyaga kanyaga tu hapaa. Acha utumwa wewe mjinga. Jiamini na nchi yako.
Dunia ni kijiji karne ya 21,bado una mawazo ya wapigania uhuru kwa sababu jiwe amepumbaza wajinga.
 
Hahahahaaaaaaa.Ajira ngumu mkuu.Hajipendei
 
Hawawezi kuhudhuria katika ufunguzi wa baraza la CCM lililo jipa jina la Bunge la Tanzania, ni bora kama watavaa mavazi yao ya kijani kila wanapo kuwa humo.
 
Kagame na Kenyatta walikuwa wapi? Niambie wewe mratibu shughuli za watu
Hawa nao ni sehemu ya viongozi wa EU mnapoenda kujidhalilisha!?

Mnaenda EU na Marekani mkiongozwa na Antipasu kujidhalilisha, kuwa ninyi hamna huwezo wa kujiamulia mambo yenu mpaka mpangiwe!! Halafu watu wana'bana' kiungo kilicho kati ya mdomo na macho na kusema "demokrasia na haki" wakati hawataki kutimiza wajibu wao kama raia wa nchi hii.!!

Mawazo yao nikuvizia vya "kunyonga" hawataki vya "kuchinja"! Mnasitaajabisha sana ninyi mnapodai mna akili kubwa!
 
Balozi wa USA anaugulia yaliyo mkuta Trump na kutafakari kipindi kifupi cha ubalozi wake nchi.
Ufaransa sijui kaingia lini kwa Lissu maana wote tulimsikia Lissu akitangaza ni mkimbizi nyumbani kwa balozi wa ujerumani. Balozi wa ubeligiji asingeweza kuja anamajonzi ya shoga yake kuikimbia nchi.

Dunia siku hizi ni pana zaidi ya USA. Akiwa balozi wa China tu inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…