Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana.Pole Sana mwalimu, tatizo wengi wenu walikua washajiwekea ulaji, ukienda kusimamia unapewa lak 3 had 5 af pepa ikianza mnachukua pepa moja kusolve na kurudisha majibu kwa watoto. Matokeo yake secondary wanaenda vilaza hawajui kusoma Wala kuandika.
...
Mkuu mbona kama vile wewe sio mwalimu maana kipindi cha mitihani ya taifa ya darasa la 7 huwa hawaruhusu walimu wengine tifauti na headteacher kuwa maeneo ya shuleMbele yangu Kuna mzigo mkubwa wa daftari za stadi za kazi darasa la tano ninazopaswa kusahisha
Naangalia nje namuona mwalimu wa sekondari yuko bize kusimamia mtihani wa darasa la Saba
Nafikiri jibu hili umelenga kumuumiza zaidi mtoa mada.Kwa swali hili na logic uliyoitumua hapa kweli wewe ni Mwalimu.
By the way hii kazi ilikuwa wito wewe furaha yako ni kufundisha na kuelimisha na sio kupata sifa au ujira, kwahio kama vile akunyimae Kunde anakupunguzia Mashuzi, vilevile aliyekunyima kusimamia basi amekuongezea muda wa kusahihisha na kuwanoa wanafunzi wako.
Ni sawa tu, kwani kwenye uchaguzi kazi yenu uwa ni ipi? Malipo Hapa Hapa, na badoNipo shuleni ofisini
Mbele yangu Kuna mzigo mkubwa wa daftari za stadi za kazi darasa la tano ninazopaswa kusahisha...
Inawezekana ni mwalimu kweli ila kanyimwa nafasi ndo akaona aunganisheunganishe story ili aipake kinyesi serikali na apate huruma zetuMkuu mbona kama vile wewe sio mwalimu maana kipindi cha mitihani ya taifa ya darasa la 7 huwa hawaruhusu walimu wengine tifauti na headteacher kuwa maeneo ya shule
Alitakiwa spangle kwingine, nadhani ndio haja yakeMleta mada kama ni mwalimu serikali ilikuajiri kimakosa
Hiyo kitu inaitwa segregation of duties
Huwezi kufundisha wewe,utunge mtihani wewe,usimamie wewe na usahihishe wewe!!!
Ila kumbuka kwenye kusimamia mitihani wasimamizi ulipwa posho. Hivyo kwenye hii mitihani walimu husika wa shule za msingi wamekosa hizo posho.Kwa swali hili na logic uliyoitumua hapa kweli wewe ni Mwalimu.
By the way hii kazi ilikuwa wito wewe furaha yako ni kufundisha na kuelimisha na sio kupata sifa au ujira.., Kwahio kama vile akunyimae Kunde anakupunguzia Mashuzi, vilevile aliyekunyima kusimamia basi amekuongezea muda wa kusahihisha na kuwanoa wanafunzi wako.
Hamuaminiki kwanza mnavujisha mitihani kwa watoto mlioshindwa kuwafundisha KKK.Nipo shuleni ofisini
Mbele yangu Kuna mzigo mkubwa wa daftari za stadi za kazi darasa la tano ninazopaswa kusahisha...
Life is fairNipo shuleni ofisini
Mbele yangu Kuna mzigo mkubwa wa daftari za stadi za kazi darasa la tano ninazopaswa kusahisha....
Nilisikia ati walimu wa primary ni form four failuresNipo shuleni ofisini
Mbele yangu Kuna mzigo mkubwa wa daftari za stadi za kazi darasa la tano ninazopaswa kusahisha
Naangalia nje namuona mwalimu wa sekondari yuko bize kusimamia mtihani wa darasa la Saba
Najiuliza kwanini nisisimamie mwenyewe mwalimu wa shule ya msingi?
Je, Serikali imenichukia sana kiasi cha kuninyang'anya majukumu yangu?
Hili limenisikitisha sana nahisi nakosa furaha yangu ya kawaida hapa shuleni
Ni kawaida yangu asubuhi kuwatia moyo watahiniwa kuwa watulivu kisaikolojia ila ukweli leo nimejikuta nimeshindwa kufanya hivyo
Je, huu ni muendelezo wa serikali yetu kutudharau waalimu shule za msingi?
Sio failures, serikali inatambua kuwa ufaulu ni division 1 Hadi division 4Nilisikia ati walimu wa primary ni form four failures
Mbona toka Uhuru 1961 ilikuwa ulifanyika hivyo? Hiyo segregation mmeiona leo?Mleta mada kama ni mwalimu serikali ilikuajiri kimakosa
Hiyo kitu inaitwa segregation of duties
Huwezi kufundisha wewe,utunge mtihani wewe, usimamie wewe na usahihishe wewe!