Je, huu ni mwendelezo wa Serikali kutudharau Walimu Shule za Msingi?

Mleta mada kama ni mwalimu serikali ilikuajiri kimakosa

Hiyo kitu inaitwa segregation of duties

Huwezi kufundisha wewe,utunge mtihani wewe, usimamie wewe na usahihishe wewe!
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Labda akili ya kukesha kukariri theories mbalimbali ktk masomo, Ila si akili ya kutathmin Mambo
Na nyie ndo wale wasemao tozo inalipwa na watanzania wote Ila kodi ya TRA inalipwa na wafanya biashara pekee
Akili ndogo ni akili ndogo tu

Kama nilikariri theory mbona wewe zilikushinda ukaishia kupata four failure?

Alafu unajua unabishana na mwalimu wako niliyekufundisha chuoni hadi ndo akapata hako ka cheti ka grade A?

Hahahhahhha
 
Binafsi naona serikali haijawadharau walimu wa shule za msingi. Kwa sababu wanaosimamia ni walimu wa msingi na sekondari.
"Tuwe chanya ukweli hasa utajulikana mbele ya safari"
 
wakuu naomba kuuliza ukiwa na degree ukapangiwa kazi shule ya msingi unalipwa shingap mshahara?
je utakua sawa na mwezako aliyo pakiwa sekondari?

naomba kufahamu kwà hilo wajuzi.
 
Malipo ni Yale yale wote wanaanzia Tgts D1 . Kilichopo ni dhana tu walimu wa msingi Kama unadharauliwa pia flan pia katika maeneo mengi walimu wa msingi wanakua na vipindi vingi kuliko secondary Ila salary ni sawa

sawa nikajua wanalipwa kidogo tofauti na secondary
 
Nipo shuleni ofisini

Mbele yangu Kuna mzigo mkubwa wa daftari za stadi za kazi darasa la tano ninazopaswa kusahisha

Naangalia nje namuona mwalimu wa sekondari yuko bize kusimamia mtihani wa darasa la Saba

Najiuliza kwanini nisisimamie mwenyewe mwalimu wa shule ya msingi?

Je, Serikali imenichukia sana kiasi cha kuninyang'anya majukumu yangu?

Hili limenisikitisha sana nahisi nakosa furaha yangu ya kawaida hapa shuleni

Ni kawaida yangu asubuhi kuwatia moyo watahiniwa kuwa watulivu kisaikolojia ila ukweli leo nimejikuta nimeshindwa kufanya hivyo

Je, huu ni muendelezo wa serikali yetu kutudharau waalimu shule za msingi?
Wengi wamekosa uaminifu kwa kuvujisha mitihani ili shule, halimashauri, wilaya, na mikoa ionekane imefanya vizuri. Matokeo yake wanafaulisha mamia ya wanafunzi wasioweza kumudu elimu ya sekondari. Labda mbinu hii itapunguza huo upuuzi.
 
Hiyo miaka ya mwanzo hawakuliona hilo?

Na je hiyo mitihani ya form 4 na 6 wataenda kusimamia walimu wa msingi?
Kama una vigezo ! Sio hivyo vya kuonesha na kuwaandikia watoto majibu ya mitihani. Watoto wenyewe wanaeleza . Hata kushangaa Kwa nini mnawapa majibu ya mitihani!!
 
Walimu wa msingi mlikuwa na kasumba ya kuiba mitihani na kuisovu kisha mnawapa wanafunzi vimemo vya majibu wanaingia navyo kwenye chumba cha mtihani.

Matokeo yake mkatuzalishia wanafunzi ambao hawajui kusoma wala kuandika kujiunga sekondari. Naona mwaka huu serikali imewabana sasa mmeanza kutoa milio ya kila aina. Hahahhahahah Tulieni dawa iwaingie
Tena ndo by by hamtasimamia tena! Maana nani atakubali uibe kura na mtihani??? Labda muache kuiba kura, laana imeanza kuwatafuna!
 
Nahisi Kama hao was sekondari wameletwa kwa ajil ya Hali ya usalama wa mitihan..Mana wote wameteuliwa na necta...na sio halmashauri..
 
Mwalimu relax..mambo yatakuja kukaa sawa tu...
 
Nipo shuleni ofisini

Mbele yangu Kuna mzigo mkubwa wa daftari za stadi za kazi darasa la tano ninazopaswa kusahisha

Naangalia nje namuona mwalimu wa sekondari yuko bize kusimamia mtihani wa darasa la Saba

Najiuliza kwanini nisisimamie mwenyewe mwalimu wa shule ya msingi?

Je, Serikali imenichukia sana kiasi cha kuninyang'anya majukumu yangu?

Hili limenisikitisha sana nahisi nakosa furaha yangu ya kawaida hapa shuleni

Ni kawaida yangu asubuhi kuwatia moyo watahiniwa kuwa watulivu kisaikolojia ila ukweli leo nimejikuta nimeshindwa kufanya hivyo

Je, huu ni muendelezo wa serikali yetu kutudharau waalimu shule za msingi?
Amechukuliwa kusimamia mtumishi wenye akili sawa sawa
 
Kwa kuwa nyie ni sehemu muhimu kwenye zile chafuzi kuu na chafuzi za mitaa wote kwa umoja wenu mnastahili kulipia madhambi yenu kwa raia wote wataifa hili wanaopenda haki na kuchukia uonevu ambao nanyi ni sehemu yake.
Je,wao wana uwezo wa kuzuia huo uchafuzi usifanyike?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Walimu wa msingi mlikuwa na kasumba ya kuiba mitihani na kuisovu kisha mnawapa wanafunzi vimemo vya majibu wanaingia navyo kwenye chumba cha mtihani.

Matokeo yake mkatuzalishia wanafunzi ambao hawajui kusoma wala kuandika kujiunga sekondari. Naona mwaka huu serikali imewabana sasa mmeanza kutoa milio ya kila aina. Hahahhahahah Tulieni dawa iwaingie
Acha weeee kumbe ndio maana....

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Nipo shuleni ofisini

Mbele yangu Kuna mzigo mkubwa wa daftari za stadi za kazi darasa la tano ninazopaswa kusahisha

Naangalia nje namuona mwalimu wa sekondari yuko bize kusimamia mtihani wa darasa la Saba

Najiuliza kwanini nisisimamie mwenyewe mwalimu wa shule ya msingi?

Je, Serikali imenichukia sana kiasi cha kuninyang'anya majukumu yangu?

Hili limenisikitisha sana nahisi nakosa furaha yangu ya kawaida hapa shuleni

Ni kawaida yangu asubuhi kuwatia moyo watahiniwa kuwa watulivu kisaikolojia ila ukweli leo nimejikuta nimeshindwa kufanya hivyo

Je, huu ni muendelezo wa serikali yetu kutudharau waalimu shule za msingi?
"Nikitazama wanavyoishi walimu naskia kulia" in roma mkatoliki's voice
 
n
Nipo shuleni ofisini

Mbele yangu Kuna mzigo mkubwa wa daftari za stadi za kazi darasa la tano ninazopaswa kusahisha

Naangalia nje namuona mwalimu wa sekondari yuko bize kusimamia mtihani wa darasa la Saba

Najiuliza kwanini nisisimamie mwenyewe mwalimu wa shule ya msingi?

Je, Serikali imenichukia sana kiasi cha kuninyang'anya majukumu yangu?

Hili limenisikitisha sana nahisi nakosa furaha yangu ya kawaida hapa shuleni

Ni kawaida yangu asubuhi kuwatia moyo watahiniwa kuwa watulivu kisaikolojia ila ukweli leo nimejikuta nimeshindwa kufanya hivyo

Je, huu ni muendelezo wa serikali yetu kutudharau waalimu shule za msingi?
nyie mkisimamia mtatuletea vilaza form one
 
Mmejiharibia wenyewe kwa baadhi yenu kutokuwa waaminifu. Mnavujisha mitihani sana. Lakini pia, unisamehe kama wewe si mmoja wao, baadhi yenu ni semi-literate. Mna elimu nusunusu.

Angalia jjnsi mnavyoharibu majina ya watoto wetu mnapowasajili kwenye mitihani ya darasa la 4 na 7! Mzazi anakuletea majina ya mwanaye kwenye karatasi lakini matokeo yanapokuja kutoka mzazi anashangaa jina la mtoto wake limebadilika/ limekosewa. Mna tatizo gani nyie? Mfano jina BULABO limebadilika kuwa BURADO, EMMANUEL likawa EMANUEL nk. Nani atawaamini tena. Msitafute mchawi, hamko sawa nyie.
 
Back
Top Bottom