Au nyumba za serikali aliuza ngapi, ngapi kwa waliostahiki na ngapi kwa vimada na kiasi gani kililipwa kwa kuuza bei ya kuzugia ikilinganishwa na bei ya thamani halisi! atakujibu kama alivyomtishia mama aliponena ukweli kutoka moyoni mwake, na si kutaka kujipendekeza kwa kusema uongo!! Kwangu mimi, huyo mama (pamoja na ukada wake) ni shujaa.Nenda ukamuulize Magufuli kile kivuko cha Mv Dar es Salaam alinunua shilingi ngapi kama atakujibu.
Mkuu Paschal hao wakurugenzi kuna taarifa kuwa walikuwa wanafanyakazi kwa kushirikiana wa madiwani wa Chadema bila kubaguana, tatizo mzee hataki kuona watu waccm wanaelewana na wapinzani, mkuu umewahi kuona maswali kama hayo ameulizwa Bashite, Ally Happy, Mnyeti, Gumbo? hawa walikuwa wanatafutwa kwa muda mrefu, Mkurugenzi anawakuu wa idara kuna Engineer wa barabara kwa nini asiulizwe yeye?
Kumbe umesikia tetesi! Je wangejibu vizuri?,kweli cha kuambiwa changanya na zako!Mkuu Paschal hao wakurugenzi kuna taarifa kuwa walikuwa wanafanyakazi kwa kushirikiana wa madiwani wa Chadema bila kubaguana, tatizo mzee hataki kuona watu waccm wanaelewana na wapinzani, mkuu umewahi kuona maswali kama hayo ameulizwa Bashite, Ally Happy, Mnyeti, Gumbo? hawa walikuwa wanatafutwa kwa muda mrefu, Mkurugenzi anawakuu wa idara kuna Engineer wa barabara kwa nini asiulizwe yeye?
Watu waoga wa kumhoji rais au kumhoji mwenyekiti wa serikali ya mtaa?Kusema Kweli Si Haki..Mbaya anapoteza na Kazi ..Tunatengeneza Taifa La Watu Waoga..Wasiyo weza Kuhoji..Sababu ya Viongozi Kama Hawa..Rais anahitaji Kubadilika..
Umejuaje?utachoka tu kushauri, hashauriki huyu. gotimila mboku, gomala chenge.
Duh kumbe alikuwa huyu? Hivi kituo kilifungiwa right?Pascal sikujui ila nakukumbuka niko chuo kikuu ulipotangaza DSTV kwamba seif alishinda uchaguzi 1995.This is now serious
Uko sahihi kabisa,meya kajibu vizuri wakati sio mhasibu.Bwana Pascali. Swali aliloulizwa yule mama mara tatu mfululizo tena kwa kuonywa juu yabmajibu yake kwa Rais si swali baya kwa MKURUGENZI.
Haiwezekani mkurugenzi asijue ameletewa pesa kiasi gani kwa ajili ya BARABARA na akiba iliyopo ni kiasi gani.
Mkurugenzi anatakiwa afahamu akiba ya pesa zote alizonazo kila siku. Anatakiwa afahamu mapato na matumizi on daily basis.
Tatizo ni kuteua wakurugenzi ambao hawajawahi fanya kazi serikalini hivyo kutijua nini cha kufanya ofisini. Badala yake anataka mhasibu ndiye amsemee kwa bosi wake kwamba kuna pesa kiasi gani.
Isitoshe. Pesa za halmashauri hazipo kwenye mkundi mengi. Sana sana ni pesa ya barabara. Maji. Afya. Makusanyo ya ndani na miradi mingineyo ya hapa na pale.
Usiongee story za vijiweniMkuu Paschal hao wakurugenzi kuna taarifa kuwa walikuwa wanafanyakazi kwa kushirikiana wa madiwani wa Chadema bila kubaguana, tatizo mzee hataki kuona watu waccm wanaelewana na wapinzani, mkuu umewahi kuona maswali kama hayo ameulizwa Bashite, Ally Happy, Mnyeti, Gumbo? hawa walikuwa wanatafutwa kwa muda mrefu, Mkurugenzi anawakuu wa idara kuna Engineer wa barabara kwa nini asiulizwe yeye?
Hivi unajua maana ya manager au unaongeaDaaah ningekua mimi na kazi naacha... Mama wa watu anajikanyaga ka mtoto asee!!
Kuna kitu hujui, kuna LEADER na MANAGER!! Magufuli is not a leader, he is a manager!! Na angefaa sana angekua waziri mkuu!! Rais huwezi fanya upuuzi kama ule!! Inadhihirisha ni kiasi gan magu alivyo na stress na hapo ndio kapata pa kuzitolea!!
Sasa embu jiulize yule mama ataweza kufanya kazi kwa ufanisi tena kweli?? Psychologically atakua okey tena??
Kisa Chadema??? Khaaa khaaaaa.Inakuwaje baba mwenye nyumba ujui yanayoendelea ndani ya nyumba yako??? Inamaana DED barabara azimuusu??tuache visingizio huu ni uzembeMkuu Paschal hao wakurugenzi kuna taarifa kuwa walikuwa wanafanyakazi kwa kushirikiana wa madiwani wa Chadema bila kubaguana, tatizo mzee hataki kuona watu waccm wanaelewana na wapinzani, mkuu umewahi kuona maswali kama hayo ameulizwa Bashite, Ally Happy, Mnyeti, Gumbo? hawa walikuwa wanatafutwa kwa muda mrefu, Mkurugenzi anawakuu wa idara kuna Engineer wa barabara kwa nini asiulizwe yeye?
Yaani ni kama vile umuulize maxence melo idadi ya members wa JF hadi leo halafu akujibu kuwa ngoja niwasiliane na mods
Ila kwa kesi ya miradi mikubwa kama hii ilikua sahihi tu mkurugenzi afahamu figures za miradi hiyo. Mfano mi ni mhasibu yanipasa kila mara nijue balances za bank account ziko kama nane hivi za tzs na usd. Sababu najua manager ni rahisi sana kuniuliza kiasi gani kipo kwenye akaunti la msingi ni kupenda kile tunachokifanya wala hatutotumia nguvu nyingi sana kuanza kukariri kila mheshimiwa anapokuja.