Je, huu ni ufuatiliaji wa uwajibikaji au udhalilishaji kwa bullying na intimidation?

yeah....Saddam in wa Kuwait!😀😀
 
Unaweza ukaomba bank balance pekee bila bank statement. Kitaalam bank statement maana yake ni takwimu za account na bank balance ni salio la account. Mh Rais alitaka Salio sio Takwimu.
Unachanganya mkuu.Alitaka salio lililopo au alitaka kujua walipokea kiasi gani .
 

Huo ndiyo ukweli. Uamuzi ulikuwa umefanywa hata kabla ya hayo maswali. Alichotaka kufanya mbele ya umma ni kutaka kujenga jina lake kwa kuharibu heshima na haiba ya wengine. Huo ndiyo unafiki. Na unafanya kazi kwa waliokosa tafakari.
 
Huo ndiyo ukweli. Uamuzi ulikuwa umefanywa hata kabla ya hayo maswali. Alichotaka kufanya mbele ya umma ni kutaka kujenga jina lake kwa kuharibu heshima na haiba ya wengine. Huo ndiyo unafiki. Na unafanya kazi kwa waliokosa tafakari.
Pamoja mkuu
 
Salio nibaada yamatumzi zile fedha baadhi zimeshatumika kwamiradi yabarabara .so yeye hakutaka kujua Salio lililobaki bali alitaka kujua walipokea kaisi gani kutoka Serekalini.
Alitaka kujua kiasi kilichoingia toka serikalini na kilichopo ni sawa na Salio.
 
Shida moja ,mnachagua wanasiasa ndio wawe watendaji ,wakati halmashauri kuna watendaji wazuri wanajua vizuri,na wanàuzoefu zaidi
 
Pengine uko Sahihi Mkuu..Ila Pasco amefafanua ..

Siyo kila Mtu amejaliwa hicho kipaji..Nika Kama ilivyo kwa Mkuu Phd Lakini Lugha ya Muingereza inampiga chenga (KIPAJI)

Hivi Sasa Dunia nzima Wamejua Mkurugenzi Kashindwa kujibu Swali.. Kwa Kuhofia kutoa namba zisizo sahihi..Huku Wengi wakiamini ameshindwa sababu kuna Ubadhirifu..Je ni kweli?

Kama ni Kweli kwanini Rais anashindwa Kumuuliza Mteule wake?..anangoja Mikutano ..!!

Mkuu kama unaendesha Gari ni Kawaida Kusahau Leseni au tuseme ni Uzembe..Lakini ukikamatwa utapewa Muda wa Kuwasilisha Leseni yako..Sisi ni Binadamu Mkuu stroke ..Rais Abadili namna ya Kushughulikia haya Mambo..Aache Chuki na kutafuta Sifa..
 

Halmashauri ile inaongozwa na upinzani, sasa hawa itawezekana vipi wasifanye kazi na wapinzani?
 

Precisely ndicho nimekiongea hapa. Huyu mama lilikuwa swala la kuchukua data kwa wahusika! Full stop. Hakuna aliyemwambia ajue kila kitu. Mbona yule Meya amejibu?

Mimi nakumbuka nili-attend mkutano mmoja wa JPM. Injinia wa maji akaulizwa maswali kama jana. Mama alikuwa amejipanga na karatasi zake (she was on top of what is happening in her department). Na Kiukweli wananchi walivyokuwa wanapiga kelele yule mama asingekuwa amejipanga, kazi ingeishia pale.

That's what I am saying. Lilikuwa swala la mama kuwa briefed na wakuu wa idara na kuwa na figure sahihi. Narudia HAKUNA HELA INAINGIA HALMASHAURI DED HAJUI! HAIPO!

Mengine tunafurahisha baraza humu. Ultimately mama kapoteza ugali wake.
 
Hakuna udhalilishaji ni uwajibikaji.
Uwajibikaji Kwa Kosa gani?Kuna Wengine ni Wakuu wa Mikoa Wameshindwa Kutoa Vyeti ..Wamewajibishwa?
Kama Kuna Kosa awajibishwe kwa Namna inayofaa..Ni Mteule wake Huyo..anaweza kumuita Wakati Wowote ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…