paschal mkojo unao?
unautamani u DED? unaongea tuuuu as if wewe ndiwe unaye andaa instrument ya DED. DED ni zaidi Ya kukariri fund allocationHapa kazi tu.
Wakurugenzi hao wamejidhalilisha wenyewe,Halmashauri na mamlaka ya uteuzi.
Katika muktadha wa ziara ya kiongozi mkuu katika eneo lako haitarajiwi ukakosa data zote muhimu au maeneo mahsusi ya miradi iliyoletewa fedha na Serikali kuu.
DED kama accounting officer ana wajibu wa kujua kila senti iingiayo na kutoka halmashauri kwa kichwa kwani ni kazi yake ya kila siku na ni maswali anayoyajibu kwa wawakilishi wa wananchi au wananchi moja kwa moja.
Isitoshe mkurugenzi ana vikao vya kila juma au kila siku au kila mwezi vinavyombrief kuhusu maswala ya miradi ya maendeleo na fedha zinazotarajiwa kupatikana au zilizopatikana kutoka vyanzo vyote.yaani kuhusu fedha ya miradi kwa mkurugenzi ni sawa na sala ya baba yetu na muumini wa kikiristu.
Unapokuwa na mkurugenzi asitefahamu ni kiasi gani cha fedha za road fund zimefika kwenye halmashauri yake hutegemei kama ataweza kusimamia mradi wa barabara husika na mambo ndipo yanapokwamia na lawama au matusi yatarudi kwa mh Rais.
DED kama accounting officer aka afisa masuhuri wa halmashauri huandikiwa kwa barua kiasi cha fedha za mradi zinazoingia halmashauri sometimes days or weeks before disbursement ya hizo funds.
DED hupelekewa na mweka hazina statement au taarifa ya fedha yoyote inayoingia halmashauri.
Pia fedha yoyote inayoingia halmashauri hujadilowa kwenye vikao vya kamati za mipango na fedha na hatimaye baraz zima la madiwani ambalo katibu wake ni DED.
Kwa maoni yangu hakuna excuse ya DED kushindwa kujua figure ya fedha nyingi za mradi wa barabara zaidi ya kiwango kikuu cha uzembe.
Kama DED hajui ni kiasi gani cha fedha za mradi wa road fund ambayo ni nyingi how come anaweza kujua deni au fedha ya mtumishi(say nauli ya likizo) kama mdogo mfano mwalimu wa shule ya msingi aliyeko kwenye halmashauri yake???
Wakurugenzi hawa waneonesha kiwango kikubwa cha irresponsibility na wamestahili adhabu waliyopata.
Hilo ni funzo kwetu sote especially watumishi wa umma.
JPM ni no nonesense President, every subordinate must have known him better and therefore he/she should be super prepared .
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
wameibia majibu onsiteBTW MBONA MWENYEKITI NA MEYA WALIKUWA TAYARI
KUNASHINDA NA HIKI KIZAZI KIPYA CHA WAKURUGENZI NA MAAFISA WA SERIKALI- HAWAJITAMBUI
Unaonekana udhalilishaji kwa sababu wameshindwa kujibu? Au hata madiwani waliojibu kwa ufasaha nao wamedhalilishwa?Alichofanya Rais ni udhalilishaji he could've handled it way better ila pia huyu DED hakutimiza wajibu wake, haiwezekani Rais aje eneo lako la kazi ila usiwe na taarifa za miradi unayosimamia hata kwa kubeba notebook ili uweze kurejea.
Ni kwa vile tu wewe bila aibu umechagua kujitoa akili. Una uhakika fedha hizi zinazozungumziwa hapa zinamhusu DED au mwekahazina wake kwa namna unayoielezea hapa?Hapa kazi tu.
Wakurugenzi hao wamejidhalilisha wenyewe,Halmashauri na mamlaka ya uteuzi.
Katika muktadha wa ziara ya kiongozi mkuu katika eneo lako haitarajiwi ukakosa data zote muhimu au maeneo mahsusi ya miradi iliyoletewa fedha na Serikali kuu.
DED kama accounting officer ana wajibu wa kujua kila senti iingiayo na kutoka halmashauri kwa kichwa kwani ni kazi yake ya kila siku na ni maswali anayoyajibu kwa wawakilishi wa wananchi au wananchi moja kwa moja.
Isitoshe mkurugenzi ana vikao vya kila juma au kila siku au kila mwezi vinavyombrief kuhusu maswala ya miradi ya maendeleo na fedha zinazotarajiwa kupatikana au zilizopatikana kutoka vyanzo vyote.yaani kuhusu fedha ya miradi kwa mkurugenzi ni sawa na sala ya baba yetu na muumini wa kikiristu.
Unapokuwa na mkurugenzi asitefahamu ni kiasi gani cha fedha za road fund zimefika kwenye halmashauri yake hutegemei kama ataweza kusimamia mradi wa barabara husika na mambo ndipo yanapokwamia na lawama au matusi yatarudi kwa mh Rais.
DED kama accounting officer aka afisa masuhuri wa halmashauri huandikiwa kwa barua kiasi cha fedha za mradi zinazoingia halmashauri sometimes days or weeks before disbursement ya hizo funds.
DED hupelekewa na mweka hazina statement au taarifa ya fedha yoyote inayoingia halmashauri.
Pia fedha yoyote inayoingia halmashauri hujadilowa kwenye vikao vya kamati za mipango na fedha na hatimaye baraz zima la madiwani ambalo katibu wake ni DED.
Kwa maoni yangu hakuna excuse ya DED kushindwa kujua figure ya fedha nyingi za mradi wa barabara zaidi ya kiwango kikuu cha uzembe.
Kama DED hajui ni kiasi gani cha fedha za mradi wa road fund ambayo ni nyingi how come anaweza kujua deni au fedha ya mtumishi(say nauli ya likizo) kama mdogo mfano mwalimu wa shule ya msingi aliyeko kwenye halmashauri yake???
Wakurugenzi hawa waneonesha kiwango kikubwa cha irresponsibility na wamestahili adhabu waliyopata.
Hilo ni funzo kwetu sote especially watumishi wa umma.
JPM ni no nonesense President, every subordinate must have known him better and therefore he/she should be super prepared .
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Hayo ni kiutendaji serikalini pia ana family issues,Huyu Mama anasimamia;
Afya,
Elimu Sec,
Elimu Msingi,
Utawala,
Ardhi,
Kilimo,
Maji,
Mifugo,
Uhandisi Majengo,
Uhandisi Barabara,
Utamaduni,
Mazingira,
Fedha na Uchumi,
Mipango,
Maliasili, nk
Je anatakiwa kujua Kila Fungu lililoelekezwa humo??
MmmhhhhhhhHayo ni kiutendaji serikalini pia ana family issues,
Busara na Huruma ya kumpa walau masaa 2 aje na ripoti yenye kuonyesha mapato na matumizi ya idara yake ingefaa zaidi.
Kumbe kushirikiana na upinzani ndio unakua na uwezo mdogo hata kujua umepokea kiasi gan kwenye mradi flan kwenye halmshauri yako?atakua anashirikiana na upinzani
Anashaurika. Ndio maana akakubali Maoni ya Prof Anna TibaijukaChukua Tano.
Swali tu: Je, Rais anashaurika????.
Yaliyotokea kama yangefanyika nyuma ya Pazia yasingekuwa na hadhira iliyojitokeza.
Yes! Kama mkurungezi kuna baadhi ya Takwimu ni lazima uzijue.Maana hesabu zote zinafika mezani kwako.
Hatua zikichukuliwa nyuma ya pazia, kelele zitabadilika na kuwa za kulaumu kuwa "double standatds" zinatumika. Samaki mkunje angali mbichi.Chukua Tano.
Swali tu: Je, Rais anashaurika????.
Yaliyotokea kama yangefanyika nyuma ya Pazia yasingekuwa na hadhira iliyojitokeza.
Yes! Kama mkurungezi kuna baadhi ya Takwimu ni lazima uzijue.Maana hesabu zote zinafika mezani kwako.
Na alikuwa kwenye msiba wakati one week before muda ambao kikao cha kujadili hizo fedha kilifanyikaHayo ni kiutendaji serikalini pia ana family issues,
Busara na Huruma ya kumpa walau masaa 2 aje na ripoti yenye kuonyesha mapato na matumizi ya idara yake ingefaa zaidi.
Nikimaliza kuandika mkuu 'prs' nakupa like.Pengine uko Sahihi Mkuu..Ila Pasco amefafanua ..
Siyo kila Mtu amejaliwa hicho kipaji..Nika Kama ilivyo kwa Mkuu Phd Lakini Lugha ya Muingereza inampiga chenga (KIPAJI)
Hivi Sasa Dunia nzima Wamejua Mkurugenzi Kashindwa kujibu Swali.. Kwa Kuhofia kutoa namba zisizo sahihi..Huku Wengi wakiamini ameshindwa sababu kuna Ubadhirifu..Je ni kweli?
Kama ni Kweli kwanini Rais anashindwa Kumuuliza Mteule wake?..anangoja Mikutano ..!!
Mkuu kama unaendesha Gari ni Kawaida Kusahau Leseni au tuseme ni Uzembe..Lakini ukikamatwa utapewa Muda wa Kuwasilisha Leseni yako..Sisi ni Binadamu Mkuu stroke ..Rais Abadili namna ya Kushughulikia haya Mambo..Aache Chuki na kutafuta Sifa..
Ukisikia mkulu anakuja location yako, unatakiwa ujipange kwenye kila kitu ambacho wewe ndo uko responsible navyo!Hayo ni kiutendaji serikalini pia ana family issues,
Busara na Huruma ya kumpa walau masaa 2 aje na ripoti yenye kuonyesha mapato na matumizi ya idara yake ingefaa zaidi.
This is merely a relative "article" and NOT an absolute one!Wanabodi,
Kwanza naomba kukiri kuunga mkono kwa dhati, juhudi zote na hatua zote zinazochukuliwa na rais Magufuli katika vita dhidi ya rushwa, ufisadi, wizi wa rasilimali zetu na kusimamia uwajibikaji, ila katika utekelezaji wa juhudi hizo, sometimes kunatokea hapa na pale utekelezaji huo ukafanywa ndivyo sivyo, yaani doing the right thing, and the right time, but not doing it right.
Kwa vile rais Magufuli, licha ya kuwa ni mtu anayeitwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli, a human being, anaweza kufanya makosa ya kibinaadamu, lakini pia yeye ni taasisi inayoitwa Presidential Institution, taasisi hii ni purported to be perfect, haiwezi kukosea, hivyo rais Magufuli anategemewa kuwa perfect by doing the right thing, at the right time and do it right!. Makosa yoyote madogo madogo ya kibinaadamu, yanaweza kuwa tolerated yakifanywa na mtu mwingine yoyote, but not our president.
Angalia kilichofanyika hapa:
Isn't This Bullying and Intimidation?.
Kwa maoni yangu, this is bullying na intimidation. Kwa rais Magufuli yeye binafsi is very good in numbers, actually I think he is genius kwenye kutunza kumbukumbu za numbers za takwimu, namkumbuka jinsi alipokuwa waziri wa mifugo, kichwani kwake, alikuwa na idadi ya ng'ombe, mbuzi, tena nikasikia kuwa ana hadi idadi ya samaki wetu.
Alipokuwa Waziri wa Ujenzi, alikuwa na figures za urefu wa barabara zote za TANROADS na zimejengwa kwa kiasi gani. Then rais wetu asitegemee kila kiongozi wa umma, atakuwa mzuri kama yeye kwa kukurupushwa tuu na kuulizwa figures, alafu ajibu kutoka kichwani.
Is This Fair?, Huu Sio Udhalilishaji?.
This is not fair, hii sii haki, hii ni some sort of intimidation na udhalilishaji wa kiongozi wa umma mbele ya public ya watu. Hizi intimidations niliwahi kuzizungumza hapa.
Kusema ukweli, kuna vitu rais wetu huwa anavisema, havikupaswa kusemwa na rais, na kuna vitu anavifanya, havikupaswa kufanywa na rais, kama wasaidizi wake mpo, na mnaona, na imejiridhisha he is doing the right thing, hivyo wote tuendelee kumshangilia tuu rais wetu, kwa baadhi yetu sisi ambao ni wakweli daima, tunakua hatujitendei haki nafsi zetu, hivyo mwisho wa uwezo wetu ni kusema tuu, kwa sababu hizi bullying na intimidations kwenye mambo madogo zikiachwa, mbele ya safari tutakushuhudia makubwa zaidi, tukidhani ndio kumsaidia rais wetu kumbe tunamchoresha!.
Tumbua Tumbua, Ziara za Kushutukiza na Utoaji Nje Siri za Serikali.
Niliwahi kupinga utekelezaji wa baadhi ya Tumbua tumbua, na kulalamikia double standards. Kwenye ziara za kushtukiza, nikasema ni intimidating, hivyo kutajenga nidhamu ya woga, lakini pia nikapinga hii ya rais kusema chochote hata vitu ambavyo hakupaswa kusema kama disclosure of tapping telephone conversations, au kuwaanika secret agents etc, nilishauri
Marais Wengine Hufanya Vipi?.
Nikiwa ripota wa newsroom, nimewahi kushiriki ziara nyingi za rais za ndani ya nchi na nje ya nchi. Wakati rais akifanya ziara popote, wahusika wote watakaohusiana na ziara hiyo huarifiwa. Rais akiishawasili hufanyiwa briefing, na kila jioni hufanya postmortem, hivyo kuna mambo mengine ni mambo ya ndani kuuliza kule kwenye briefings, na sio kila kitu kuuliza mbele ya kadamnasi ya watu, huu ni udhalilishaji na kuaibishana.
A Way Forward:
Kwa vile rais wetu pia ni binadamu, naendelea kuwasisitiza wale wasaidizi wake, waendelee kumsaidia rais wetu, kutenganisha the two personalities, kati ya mtu anayeitwa Dr John Pombe Joseph Magufuli, na Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
Dr. Magufuli anaweza kuwaza lolote, kufanya lolote popote, au anaweza kusema chochote popote, lakini Rais Magufuli, hawezi kufanya lolote or kusema chochote, he got to do only the right thing at the right time and do it right!.
Namtakia ziara njema.
Paskali
Haya, badi kama ndo hivyo aende upinzani huyo mama.Mkuu Paschal hao wakurugenzi kuna taarifa kuwa walikuwa wanafanyakazi kwa kushirikiana wa madiwani wa Chadema bila kubaguana, tatizo mzee hataki kuona watu waccm wanaelewana na wapinzani, mkuu umewahi kuona maswali kama hayo ameulizwa Bashite, Ally Happy, Mnyeti, Gumbo?
Hawa walikuwa wanatafutwa kwa muda mrefu, Mkurugenzi anawakuu wa idara kuna Engineer wa barabara kwa nini asiulizwe yeye?
Sawa, sasa ngoja tuwasiliane na Kenyatta, Mseveni na Kagame ili waweke utaratibu wa marufuku ya Lugha ya kiswahili kutumika kwenye kikao kijacho cha EAC, tuone kama hawatamtumbua mkuu wetu kwa 'broken' atakazomwaga mbele ya kadamnasi!!!Huyo DED aliwaza sahihi kama wewe,ndiyo yakampata yaliyo mpata jana.Tumeshajua zamani tuna utawala wa namna gani.chukulia houseboy/boy wako unamuuliza swali mbele za watu halafu anakujibu kunya
Ndiyo nini ng'ombe ww?Haya, badi kama ndo hivyo aende upinzani huyo mama.
Hitimisho: wee jamaa ni kilaza.