Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,446
- 3,319
Ndiyo maana bandiko lake limewekwa kimizaa ili kuepuka mkono wa watu wasiojulikana ionekane kama anataniaNaona Mayalla umejitoa mhanga...mimi kazi yangu kukuombea tu watu wasiojulikana wasikufuatilie...
Umeweka ujumbe mzito katikati ya mizaha.
Jinga lao katika ubora wa ujinga wako..Hapa kazi tu.
Wakurugenzi hao wamejidhalilisha wenyewe,Halmashauri na mamlaka ya uteuzi.
Katika muktadha wa ziara ya kiongozi mkuu katika eneo lako haitarajiwi ukakosa data zote muhimu au maeneo mahsusi ya miradi iliyoletewa fedha na Serikali kuu.
DED kama accounting officer ana wajibu wa kujua kila senti iingiayo na kutoka halmashauri kwa kichwa kwani ni kazi yake ya kila siku na ni maswali anayoyajibu kwa wawakilishi wa wananchi au wananchi moja kwa moja.
Isitoshe mkurugenzi ana vikao vya kila juma au kila siku au kila mwezi vinavyombrief kuhusu maswala ya miradi ya maendeleo na fedha zinazotarajiwa kupatikana au zilizopatikana kutoka vyanzo vyote.yaani kuhusu fedha ya miradi kwa mkurugenzi ni sawa na sala ya baba yetu na muumini wa kikiristu.
Unapokuwa na mkurugenzi asitefahamu ni kiasi gani cha fedha za road fund zimefika kwenye halmashauri yake hutegemei kama ataweza kusimamia mradi wa barabara husika na mambo ndipo yanapokwamia na lawama au matusi yatarudi kwa mh Rais.
DED kama accounting officer aka afisa masuhuri wa halmashauri huandikiwa kwa barua kiasi cha fedha za mradi zinazoingia halmashauri sometimes days or weeks before disbursement ya hizo funds.
DED hupelekewa na mweka hazina statement au taarifa ya fedha yoyote inayoingia halmashauri.
Pia fedha yoyote inayoingia halmashauri hujadilowa kwenye vikao vya kamati za mipango na fedha na hatimaye baraz zima la madiwani ambalo katibu wake ni DED.
Kwa maoni yangu hakuna excuse ya DED kushindwa kujua figure ya fedha nyingi za mradi wa barabara zaidi ya kiwango kikuu cha uzembe.
Kama DED hajui ni kiasi gani cha fedha za mradi wa road fund ambayo ni nyingi how come anaweza kujua deni au fedha ya mtumishi(say nauli ya likizo) kama mdogo mfano mwalimu wa shule ya msingi aliyeko kwenye halmashauri yake???
Wakurugenzi hawa waneonesha kiwango kikubwa cha irresponsibility na wamestahili adhabu waliyopata.
Hilo ni funzo kwetu sote especially watumishi wa umma.
JPM ni no nonesense President, every subordinate must have known him better and therefore he/she should be super prepared .
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Babkubwa!, Ulichoandika ndo ukweli halisi bila chenga.Hapa kazi tu.

Ila CCM mlijua kutupa adhabu aisee, kwa hili hatutowasahau.
Uliowataja mkuu ni Wakuu wa Wilaya na mkuu wa Mkoa sio Wakurugenzi na usitegemee hata siku moja wakaulizwa maswali hayo mwisho wa siku wataalamu wa Manispaa ndio watajibuMkuu Paschal hao wakurugenzi kuna taarifa kuwa walikuwa wanafanyakazi kwa kushirikiana wa madiwani wa Chadema bila kubaguana, tatizo mzee hataki kuona watu waccm wanaelewana na wapinzani, mkuu umewahi kuona maswali kama hayo ameulizwa Bashite, Ally Happy, Mnyeti, Gumbo? hawa walikuwa wanatafutwa kwa muda mrefu, Mkurugenzi anawakuu wa idara kuna Engineer wa barabara kwa nini asiulizwe yeye?
Ha ha ha wewe si unaona ni mtu wa aina gani, yaani nikiambiwa nimtaje mtu nisiyempenda kuliko wote hapa duniani ni sizonjeenimechekaaaaaaaaaaaaaa kha umewaza sana aisee !yaan ni kma huna nguvu tenaaaaaaaaa hahahah
A wrong approach!Doing a right thing in a wrong way.
Doing a wrong thing in a wrong way.Doing a right thing in a wrong way.