Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
tena nikasikia kuwa ana hadi idadi ya samaki wetu.
Hapa kazi tu.
Wakurugenzi hao wamejidhalilisha wenyewe,Halmashauri na mamlaka ya uteuzi.
Katika muktadha wa ziara ya kiongozi mkuu katika eneo lako haitarajiwi ukakosa data zote muhimu au maeneo mahsusi ya miradi iliyoletewa fedha na Serikali kuu.
DED kama accounting officer ana wajibu wa kujua kila senti iingiayo na kutoka halmashauri kwa kichwa kwani ni kazi yake ya kila siku na ni maswali anayoyajibu kwa wawakilishi wa wananchi au wananchi moja kwa moja.
Isitoshe mkurugenzi ana vikao vya kila juma au kila siku au kila mwezi vinavyombrief kuhusu maswala ya miradi ya maendeleo na fedha zinazotarajiwa kupatikana au zilizopatikana kutoka vyanzo vyote.yaani kuhusu fedha ya miradi kwa mkurugenzi ni sawa na sala ya baba yetu na muumini wa kikiristu.
Unapokuwa na mkurugenzi asitefahamu ni kiasi gani cha fedha za road fund zimefika kwenye halmashauri yake hutegemei kama ataweza kusimamia mradi wa barabara husika na mambo ndipo yanapokwamia na lawama au matusi yatarudi kwa mh Rais.
DED kama accounting officer aka afisa masuhuri wa halmashauri huandikiwa kwa barua kiasi cha fedha za mradi zinazoingia halmashauri sometimes days or weeks before disbursement ya hizo funds.
DED hupelekewa na mweka hazina statement au taarifa ya fedha yoyote inayoingia halmashauri.
Pia fedha yoyote inayoingia halmashauri hujadilowa kwenye vikao vya kamati za mipango na fedha na hatimaye baraz zima la madiwani ambalo katibu wake ni DED.
Kwa maoni yangu hakuna excuse ya DED kushindwa kujua figure ya fedha nyingi za mradi wa barabara zaidi ya kiwango kikuu cha uzembe.
Kama DED hajui ni kiasi gani cha fedha za mradi wa road fund ambayo ni nyingi how come anaweza kujua deni au fedha ya mtumishi(say nauli ya likizo) kama mdogo mfano mwalimu wa shule ya msingi aliyeko kwenye halmashauri yake???
Wakurugenzi hawa waneonesha kiwango kikubwa cha irresponsibility na wamestahili adhabu waliyopata.
Hilo ni funzo kwetu sote especially watumishi wa umma.
JPM ni no nonesense President, every subordinate must have known him better and therefore he/she should be super prepared .
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Binafsi najua hela za barabara tangu mwezi July mwaka huu zinaenda TARURA, hiyo Tarura ni mamlaka (agency) inayojitegemea kama ilivyo TRA. Kwa hiyo, binafsi nafikiri huyo mkurugenz hakutilia maanani hizo fedha za barabara kwakua tayari zinaingia kwenye mamlaka nyingineJingalao nakuunga mkono kwa asilimia 100% . Kwa hili la Mkurugenzi kutojua kiasi kilichoingia huku akiwa pia signatory Ni ujinga mkubwa na ni indicator kubwa kuwa haijui JD yake.
Ili Taifa letu liendelee na kufikia huko linahitaji haya ya MagufuliNaomba kuuliza hivi katika mataifa ya watu walioendelea na kustaarabika, kiongozi unaweza kufanya maamuzi ya kuumiza hisia za wasaidizi wako hadharani na raia wakakushangilia?
Namba wenye majibu wanisaidie.
Angejibu hivyo angeeleweka na palepale muhusika wa TARURA angesimamishwa kujibu.Binafsi najua hela za barabara tangu mwezi July mwaka huu zinaenda TARURA, hiyo Tarura ni mamlaka (agency) inayojitegemea kama ilivyo TRA. Kwa hiyo, binafsi nafikiri huyo mkurugenz hakutilia maanani hizo fedha za barabara kwakua tayari zinaingia kwenye mamlaka nyingine
Uko sahihi mkuu, angejibu hivyo angeelewekaAngejibu hivyo angeeleweka na palepale muhusika wa TARURA angesimamishwa kujibu.
Mkuu Paschal hao wakurugenzi kuna taarifa kuwa walikuwa wanafanyakazi kwa kushirikiana wa madiwani wa Chadema bila kubaguana, tatizo mzee hataki kuona watu waccm wanaelewana na wapinzani, mkuu umewahi kuona maswali kama hayo ameulizwa Bashite, Ally Happy, Mnyeti, Gumbo? hawa walikuwa wanatafutwa kwa muda mrefu, Mkurugenzi anawakuu wa idara kuna Engineer wa barabara kwa nini asiulizwe yeye?
ELEWA SWALI! Mayalla kauliza ni sawa kwa Mkulu alichokifanya??Hapa kazi tu.
Wakurugenzi hao wamejidhalilisha wenyewe,Halmashauri na mamlaka ya uteuzi.
Katika muktadha wa ziara ya kiongozi mkuu katika eneo lako haitarajiwi ukakosa data zote muhimu au maeneo mahsusi ya miradi iliyoletewa fedha na Serikali kuu.
DED kama accounting officer ana wajibu wa kujua kila senti iingiayo na kutoka halmashauri kwa kichwa kwani ni kazi yake ya kila siku na ni maswali anayoyajibu kwa wawakilishi wa wananchi au wananchi moja kwa moja.
Isitoshe mkurugenzi ana vikao vya kila juma au kila siku au kila mwezi vinavyombrief kuhusu maswala ya miradi ya maendeleo na fedha zinazotarajiwa kupatikana au zilizopatikana kutoka vyanzo vyote.yaani kuhusu fedha ya miradi kwa mkurugenzi ni sawa na sala ya baba yetu na muumini wa kikiristu.
Unapokuwa na mkurugenzi asitefahamu ni kiasi gani cha fedha za road fund zimefika kwenye halmashauri yake hutegemei kama ataweza kusimamia mradi wa barabara husika na mambo ndipo yanapokwamia na lawama au matusi yatarudi kwa mh Rais.
DED kama accounting officer aka afisa masuhuri wa halmashauri huandikiwa kwa barua kiasi cha fedha za mradi zinazoingia halmashauri sometimes days or weeks before disbursement ya hizo funds.
DED hupelekewa na mweka hazina statement au taarifa ya fedha yoyote inayoingia halmashauri.
Pia fedha yoyote inayoingia halmashauri hujadilowa kwenye vikao vya kamati za mipango na fedha na hatimaye baraz zima la madiwani ambalo katibu wake ni DED.
Kwa maoni yangu hakuna excuse ya DED kushindwa kujua figure ya fedha nyingi za mradi wa barabara zaidi ya kiwango kikuu cha uzembe.
Kama DED hajui ni kiasi gani cha fedha za mradi wa road fund ambayo ni nyingi how come anaweza kujua deni au fedha ya mtumishi(say nauli ya likizo) kama mdogo mfano mwalimu wa shule ya msingi aliyeko kwenye halmashauri yake???
Wakurugenzi hawa waneonesha kiwango kikubwa cha irresponsibility na wamestahili adhabu waliyopata.
Hilo ni funzo kwetu sote especially watumishi wa umma.
JPM ni no nonesense President, every subordinate must have known him better and therefore he/she should be super prepared .
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
HahahahaIla CCM mlijua kutupa adhabu aisee, kwa hili hatutowasahau.
Ofcourse na ukisoma CV yake ni mtaalamu wa uhasibu na fedha toka ngazi ya chini kabisa mpaka ngazi ya juu kabisa. Angekuwa ni mtaalamu wa kufuga nyuki angalau basi angekuwa na pakusemea kuwa hayo yanahitaji utaalamu zaidi. Jmn Tanzania have good people ila kuna nafasi nyingine hatuhitaji tu good people but very smart people. Madam you deserve that gift. Best of luck kwa kazi mpya utakayotakiwa kuifanya kwa speed hiyo hapo hupawezi.Hapa kazi tu.
Wakurugenzi hao wamejidhalilisha wenyewe,Halmashauri na mamlaka ya uteuzi.
Katika muktadha wa ziara ya kiongozi mkuu katika eneo lako haitarajiwi ukakosa data zote muhimu au maeneo mahsusi ya miradi iliyoletewa fedha na Serikali kuu.
DED kama accounting officer ana wajibu wa kujua kila senti iingiayo na kutoka halmashauri kwa kichwa kwani ni kazi yake ya kila siku na ni maswali anayoyajibu kwa wawakilishi wa wananchi au wananchi moja kwa moja.
Isitoshe mkurugenzi ana vikao vya kila juma au kila siku au kila mwezi vinavyombrief kuhusu maswala ya miradi ya maendeleo na fedha zinazotarajiwa kupatikana au zilizopatikana kutoka vyanzo vyote.yaani kuhusu fedha ya miradi kwa mkurugenzi ni sawa na sala ya baba yetu na muumini wa kikiristu.
Unapokuwa na mkurugenzi asitefahamu ni kiasi gani cha fedha za road fund zimefika kwenye halmashauri yake hutegemei kama ataweza kusimamia mradi wa barabara husika na mambo ndipo yanapokwamia na lawama au matusi yatarudi kwa mh Rais.
DED kama accounting officer aka afisa masuhuri wa halmashauri huandikiwa kwa barua kiasi cha fedha za mradi zinazoingia halmashauri sometimes days or weeks before disbursement ya hizo funds.
DED hupelekewa na mweka hazina statement au taarifa ya fedha yoyote inayoingia halmashauri.
Pia fedha yoyote inayoingia halmashauri hujadilowa kwenye vikao vya kamati za mipango na fedha na hatimaye baraz zima la madiwani ambalo katibu wake ni DED.
Kwa maoni yangu hakuna excuse ya DED kushindwa kujua figure ya fedha nyingi za mradi wa barabara zaidi ya kiwango kikuu cha uzembe.
Kama DED hajui ni kiasi gani cha fedha za mradi wa road fund ambayo ni nyingi how come anaweza kujua deni au fedha ya mtumishi(say nauli ya likizo) kama mdogo mfano mwalimu wa shule ya msingi aliyeko kwenye halmashauri yake???
Wakurugenzi hawa waneonesha kiwango kikubwa cha irresponsibility na wamestahili adhabu waliyopata.
Hilo ni funzo kwetu sote especially watumishi wa umma.
JPM ni no nonesense President, every subordinate must have known him better and therefore he/she should be super prepared .
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Makatibu wakuu wangekuwa wanaingia bungeni na kujibu maswali ya wabunge hoja yako ndio ingekuwa linganifu na hii inayomusu DED.Kama unayosema ni kweli kwanini mawaziri huwa wanapewa maswali kabla ya kuulizwa bungeni? Kwa nini waziri mkuu kwenye maswali ya papo kwa papo bungeni huwa spika anamlinda kwamba aulizwe maswali ya sera? Kwanini rais asiwaulize hao maDED maswali ya sera bali kiwango cha fedha zilizoingia halmashauri. Acha kutetea mambo yasiyo na tija.
Yaani ni kama vile umuulize maxence melo idadi ya members wa JF hadi leo halafu akujibu kuwa ngoja niwasiliane na modsbado sijaelewa sababu za msingi za kuuliza maswali, ikiwa majibu yanafahamika wazi! Kwa upeo wangu nilidhani pesa zimeliwa au zimepotezwa ktk mazingira ya ajabu, lkn baada ya kumsikiliza mstahiki meya , ni wazi pesa zipo au zimetumika ktk kile kilichokusudiwa what was the issue on the pulpit??
Please, naomba tufahamishame what was the aim na objective ya maswali ya kuhusiana na pesa za mfuko wa Bara Bara !
Na swala la pili je nini majukumu ya Mkurugenzi wa manispaa?
I start questioning the motive behind the questioning ? Ni kukosa kujua takwimu au zaidi ya tunachokiona na kukisikia?
Yaani ni kama vile umuulize maxence melo idadi ya members wa JF hadi leo halafu akujibu kuwa ngoja niwasiliane na mods.au akwambie unajua jamvi hili lina majukwaa mengi sana yanayosimamiwa na mods ...!!!bado sijaelewa sababu za msingi za kuuliza maswali, ikiwa majibu yanafahamika wazi! Kwa upeo wangu nilidhani pesa zimeliwa au zimepotezwa ktk mazingira ya ajabu, lkn baada ya kumsikiliza mstahiki meya , ni wazi pesa zipo au zimetumika ktk kile kilichokusudiwa what was the issue on the pulpit??
Please, naomba tufahamishame what was the aim na objective ya maswali ya kuhusiana na pesa za mfuko wa Bara Bara !
Na swala la pili je nini majukumu ya Mkurugenzi wa manispaa?
I start questioning the motive behind the questioning ? Ni kukosa kujua takwimu au zaidi ya tunachokiona na kukisikia?
...confidence......kisa mama ana comfidence...
Poa ticha...confidence...