Na wao wanajuta kweli kweliIla CCM mlijua kutupa adhabu aisee, kwa hili hatutowasahau.
Kwa watendaji wa serikali tena level ya DED maswali ya namna ile ni sehemu ya maisha yake ya kila siku.ELEWA SWALI! Mayalla kauliza ni sawa kwa Mkulu alichokifanya??
sio kwamba DED kakosea au kapatia??
kwani ukitaka kujua makosa ya utendaji wa watu wako ndio mpaka umuulize jukwaani!!
Kwa hiyo tuseme angejibu hicho kiasi ndio asingemtumbua!?
Mkulu alishapewa record ya utendaji wa DED alishajua hamuhitaji, sasa kulikuwa na haja gani ya kudhalilishana pale jukwaani??
Jua kwamba ukiachana na uDED yeye ni mama wa familia.
Kwa maoni yangu huu ni UDHALILISHAJI....
Na endapo Max atashindwa kujibu swali Hilo kwa kuwa tu umemkurupusha na hajapitia recently taarifa za members wapya basi utamdhalilisha kwamba hafai kuwa Kiongozi wa hii forums?Yaani ni kama vile umuulize maxence melo idadi ya members wa JF hadi leo halafu akujibu kuwa ngoja niwasiliane na mods.au akwambie unajua jamvi hili lina majukwaa mengi sana yanayosimamiwa na mods ...!!!
Mama kaweka dini na iman yake mbele kakataa kusema uongo akutaka kutaja figure ya kubaatisha hata rais nae anadanganya kwenye namba idadi ya samaki ivo vibwagizo sio kujua namba hana kumbukumbu mbona alisema alipoingia sukari ilikua elfu 5 je ni kwel hii kuoneana mama wa watu kasema kwel ye anasimamia idara nyingi kwaiyo ni ngumuDaaah ningekua mimi na kazi naacha... Mama wa watu anajikanyaga ka mtoto asee!!
Kuna kitu hujui, kuna LEADER na MANAGER!! Magufuli is not a leader, he is a manager!! Na angefaa sana angekua waziri mkuu!! Rais huwezi fanya upuuzi kama ule!! Inadhihirisha ni kiasi gan magu alivyo na stress na hapo ndio kapata pa kuzitolea!!
Sasa embu jiulize yule mama ataweza kufanya kazi kwa ufanisi tena kweli?? Psychologically atakua okey tena??
Unalinganisha kujua namba ya members wa JF na kuongoza idara yenye idara nyingi?Yaani ni kama vile umuulize maxence melo idadi ya members wa JF hadi leo halafu akujibu kuwa ngoja niwasiliane na mods.au akwambie unajua jamvi hili lina majukwaa mengi sana yanayosimamiwa na mods ...!!!
Jinga loa jingalao ipo siku ... yatakupata uliza faiza foxyKwa watendaji wa serikali tena level ya DED maswali ya namna ile ni sehemu ya maisha yake ya kila siku.
Yaani ndani ya vikao vya wakuu wa idara(CMT),kamati za halmashauri,baraza la madiwani,RCC,ziara za mawaziri mbalimbali au ziara za DED kwenda vijijini....haya yote ni mazingira anayokutana nayo na maswali ya papo kwa papo anayokutana nayo daily.
Kushindwa kujibu ni kujidhalilisha,kumdhalilisha mteuzi na kudhalilisha watumishi na wataalamu wote.Zaidi ni kuonesha hujali na wala hujui shida za wananchi na utatuzi wake katika eneo lako la kazi.
Kwa uzoefu wangu hili swali aliloulizwa kuna baadhi ya madereva wa halmashauri yake na makarani wanaweza lijibu straight bila kupepesa jicho.
Je ni sahihi??
Kwa jinsi Tanzania ilivyochelewa kimaendeleo tunahitaji kasi kubwa zaidi ya hii yaani ifike mahali 24/7 ukiitwa mkurugenzi usilale kwa kukabiliana na majukumu yako.
Imagine mkurugenzi huyu kakutana na wawekezaji au wadau wangapi ??katika mazungumzo yake aliweza kuwaelewa?au aliweza kuwaelewesha?
Ni sahihi kilichofanyika kwani pale wote Rais na mtumishi wake walikuwa kwenye ziara ya kikazi na sio kitchen party.
sasa kwanini wanamruhusu mgonjwa kutoka? Au aliwazuga amepona!!?Mambo ya Chattle Soba Hauzi. Ukitoka soba houzi, wenge husumbua sana
Aliyemuokota ndo nyannya zaidiHuyu mama ni nyanya. Huwezi kutojua hela kidogo hiyo
hao wakurugenzi kuna taarifa kuwa walikuwa wanafanyakazi kwa kushirikiana wa madiwani wa Chadema bila kubaguana, tatizo mzee hataki kuona watu waccm wanaelewana na wapinzani,
Exactly Mkuu.. Haipendezi kwa kweli tabia ya maswali kwa style ile. Uoga utazidi badala ya kupungua sasa.Kusema Kweli Si Haki..Mbaya anapoteza na Kazi ..Tunatengeneza Taifa La Watu Waoga..Wasiyo weza Kuhoji..Sababu ya Viongozi Kama Hawa..Rais anahitaji Kubadilika..
Ni baada ya kupata information kuwa Road fund allocation haifanyi yaliyotegemewa na walialocate sehemu yakebado sijaelewa sababu za msingi za kuuliza maswali, ikiwa majibu yanafahamika wazi! Kwa upeo wangu nilidhani pesa zimeliwa au zimepotezwa ktk mazingira ya ajabu, lkn baada ya kumsikiliza mstahiki meya , ni wazi pesa zipo au zimetumika ktk kile kilichokusudiwa what was the issue on the pulpit??
Please, naomba tufahamishame what was the aim na objective ya maswali ya kuhusiana na pesa za mfuko wa Bara Bara !
Na swala la pili je nini majukumu ya Mkurugenzi wa manispaa?
I start questioning the motive behind the questioning ? Ni kukosa kujua takwimu au zaidi ya tunachokiona na kukisikia?
Mkuu kazi IPI tena ilihali msigwa kashachora barua kama kawaida yake.Daaah ningekua mimi na kazi naacha... Mama wa watu anajikanyaga ka mtoto asee!!
Kuna kitu hujui, kuna LEADER na MANAGER!! Magufuli is not a leader, he is a manager!! Na angefaa sana angekua waziri mkuu!! Rais huwezi fanya upuuzi kama ule!! Inadhihirisha ni kiasi gan magu alivyo na stress na hapo ndio kapata pa kuzitolea!!
Sasa embu jiulize yule mama ataweza kufanya kazi kwa ufanisi tena kweli?? Psychologically atakua okey tena??
Tofautisha mkurugenzi na Mkuu wa Mkoa wore hao wanamaajukumu tofauti ingawa lengo lao ni Moja la kuhudumia jamii .Mkuu Paschal hao wakurugenzi kuna taarifa kuwa walikuwa wanafanyakazi kwa kushirikiana wa madiwani wa Chadema bila kubaguana, tatizo mzee hataki kuona watu waccm wanaelewana na wapinzani, mkuu umewahi kuona maswali kama hayo ameulizwa Bashite, Ally Happy, Mnyeti, Gumbo? hawa walikuwa wanatafutwa kwa muda mrefu, Mkurugenzi anawakuu wa idara kuna Engineer wa barabara kwa nini asiulizwe yeye?