Je huu ni uungwana jamani?


Mapenzi BE
usikute huyo mwanamke anampenda mumewe kupindukia..

na kingine labla ni kwaajili ya familia..labda ni wale wanawake waliapa hata hali iwe ngumu kiasi gani hata mwacha mumewe..
 
nahisi huyo jamaa ni marioo a.k.a miundombinu ambaye aliamua kuolewa na huyo dada kwa ajili ya pesa zake tu na hakumpenda hata ndo mana anamfanya dharau.nimeona wakinana dada wengi wenye pesa walioamua kuoa kusafisha nyota wameishia kupata madonda moyo.huyon jamaa anakaa na huo dada sio kama mke bali cjui niseme kondoo manake akiwa mwanaume aitwa buzi.wakina dada mlio na uwezo msikubali kuingia kwenye mitego hi ya kileo,kuolewa ni mpango wa Mungu usipopata wa kufanana nawe usilazimishe
 
Sis saita...

hivi tumfanyeje mwanaume kama huyu???

Yaani mimi natamani hata kulia maana huyu jamaa kanikera kupita maelezo kwanini ulete mwanamke nyumbani kwako TF kasema ni kuiabisha familia yako na sijui alikuwa na maana gani mijitu mingine bana inaudhi kweli
 

unajua MJ1, hizi habari nimeambiwa na dada yangu,
sasa sijui nimefanya kosa kupeleleza umbea huu,
Mungu aniepushie mbali,

Nashukuru kwa mchango !!!!!!!!!
 

Kwa kweli huyu jamaaa ni Pumbafu tena M**** hana adabu kabisa
 
Hahahahahahah lol
dahhh haya ndo matatizo
ya kuongea na wewe sana
maana hilo ndo jibu liokuwa lina elea elea hewani hahahahh lol
Once you chop it off all the problems are solved unafikiri atatumia nini tena labda atumie mguu au mkono:biggrin1::biggrin1:
 
Hivi Bacha kwani huyu mshikaji hafanyi kazi banaa

huyu jamaa anafanya kazi za kijasiriamali,
ila kwa sasa mambo kidogo sio shwari kivile.....................
 
si uungwana hata kidogo,amekosa hata aibu jamani!
 
unajua MJ1, hizi habari nimeambiwa na dada yangu,
sasa sijui nimefanya kosa kupeleleza umbea huu,
Mungu aniepushie mbali,

Nashukuru kwa mchango !!!!!!!!!

Mh bacha hutaniwi? Pole
Aksante mwaya kwa kutuletea habari hii.

Sasa naomba nijibu swali lako........huu si uungwana but nimeuliza kama shemeji anajua kama dada yetu anajua kuwa yeye anachakachua nje??
 
Reactions: Mbu
huyu jamaa anafanya kazi za kijasiriamali,
ila kwa sasa mambo kidogo sio shwari kivile.....................
Sawa lakini siku zote naamini kuna kusaidiana kwa wanafamilia wawili pindi mmoja anapokuwa amekwama sasa yeye anachukulia kigezo hicho kum-exploit mke wake na sia ajabu hata hizo biashara zake haziendelei kutokana na mambo anayoyafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…