Je huu ni uungwana jamani?

Je huu ni uungwana jamani?

Wanawake sijui huwa na shetani gani?

Kwa nini umtunze mume? Mimi mke wangu akininunulia hata c h u p i huwa naamini amechepuka kidogo siku hiyo!

Mwanamume yoyote anayetunzwa na mke wake ni LAZIMA atakuwa anao wanawake wengi nje ya ndoa maana anafurahia "kutunzwa"!

Mapenzi BE
usikute huyo mwanamke anampenda mumewe kupindukia..

na kingine labla ni kwaajili ya familia..labda ni wale wanawake waliapa hata hali iwe ngumu kiasi gani hata mwacha mumewe..
 
nahisi huyo jamaa ni marioo a.k.a miundombinu ambaye aliamua kuolewa na huyo dada kwa ajili ya pesa zake tu na hakumpenda hata ndo mana anamfanya dharau.nimeona wakinana dada wengi wenye pesa walioamua kuoa kusafisha nyota wameishia kupata madonda moyo.huyon jamaa anakaa na huo dada sio kama mke bali cjui niseme kondoo manake akiwa mwanaume aitwa buzi.wakina dada mlio na uwezo msikubali kuingia kwenye mitego hi ya kileo,kuolewa ni mpango wa Mungu usipopata wa kufanana nawe usilazimishe
 
Sis saita...

hivi tumfanyeje mwanaume kama huyu???

Yaani mimi natamani hata kulia maana huyu jamaa kanikera kupita maelezo kwanini ulete mwanamke nyumbani kwako TF kasema ni kuiabisha familia yako na sijui alikuwa na maana gani mijitu mingine bana inaudhi kweli
 
bacha naomba nikutanie.......................

Rafiki wa dadako afu we hizi habari unazijua kiundani hivi!!! afu nijuavyo weye ni mkaka ila kwa jinsi ulivyoandika mh............. imekuuma/kukera sana anachokifanya huyu mwanaume mwenzio (which is not normal- wanaume huwa mna tendency ya kuteteana!!

Ni utani tu my friend.

BTW
hapa ninachowezaona ni kuwa mwanaume anaujua udhaifu wa mkewe na ndio maana anayafanya hayo. Lakini je baada ya huyo mdada kugundua kuwa ana mshirika, amejaribu kumconfront mumewe?? Kwa sababu huwenda huyo mume anakosa haya kwa kuwa anajua siri yake bado ni siri na mkewe hajui. Sasa haya ataipata wapi? pengine angejua kuwa mkewe kajua anacheat, angezipata haya na kupunguza dharau na kuomba matumizi!

unajua MJ1, hizi habari nimeambiwa na dada yangu,
sasa sijui nimefanya kosa kupeleleza umbea huu,
Mungu aniepushie mbali,

Nashukuru kwa mchango !!!!!!!!!
 
Dada yangu kuna mambo mengine ni kutiana aibu tu halafu mwanaume mzima unaenda kumpigia magoti mwanamke kumuomba hela ya matumizi halafu anaenda kuzitumia na nyumba ndogo ambayo hiyo hiyo anaileta nyumbani, mimi kwa upande mwingine namlaumu huyu mwanamke analiona kosa halafu bado anaendelea kulifumbia macho maana baadae akija kusimulia mwanamke ndio ataonekana mwenye makosa kwa kuacha upuuzi na ushenzi huu uendelee hata kama ni ndoa, ndoa gani ya kudhalilishana kiasi hicho si ajabu huyu mwanaume anatumia kitanda hicho hicho wanacholala na mkewe kulala na hiyo nyumba ndogo yake.Pumbavu zake kabisa huyu.

Kwa kweli huyu jamaaa ni Pumbafu tena M**** hana adabu kabisa
 
Hahahahahahah lol
dahhh haya ndo matatizo
ya kuongea na wewe sana
maana hilo ndo jibu liokuwa lina elea elea hewani hahahahh lol
Once you chop it off all the problems are solved unafikiri atatumia nini tena labda atumie mguu au mkono:biggrin1::biggrin1:
 
unajua MJ1, hizi habari nimeambiwa na dada yangu,
sasa sijui nimefanya kosa kupeleleza umbea huu,
Mungu aniepushie mbali,

Nashukuru kwa mchango !!!!!!!!!

Mh bacha hutaniwi? Pole
Aksante mwaya kwa kutuletea habari hii.

Sasa naomba nijibu swali lako........huu si uungwana but nimeuliza kama shemeji anajua kama dada yetu anajua kuwa yeye anachakachua nje??
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
huyu jamaa anafanya kazi za kijasiriamali,
ila kwa sasa mambo kidogo sio shwari kivile.....................
Sawa lakini siku zote naamini kuna kusaidiana kwa wanafamilia wawili pindi mmoja anapokuwa amekwama sasa yeye anachukulia kigezo hicho kum-exploit mke wake na sia ajabu hata hizo biashara zake haziendelei kutokana na mambo anayoyafanya.
 
Back
Top Bottom