afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
Wanawake sijui huwa na shetani gani?
Kwa nini umtunze mume? Mimi mke wangu akininunulia hata c h u p i huwa naamini amechepuka kidogo siku hiyo!
Mwanamume yoyote anayetunzwa na mke wake ni LAZIMA atakuwa anao wanawake wengi nje ya ndoa maana anafurahia "kutunzwa"!
Mapenzi BE
usikute huyo mwanamke anampenda mumewe kupindukia..
na kingine labla ni kwaajili ya familia..labda ni wale wanawake waliapa hata hali iwe ngumu kiasi gani hata mwacha mumewe..