Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wajuzi hapa tatizo nini ?
Nimejaribu mbinu zote nimeshindwa.....
Hii ni GbWhatsApp/FmWhatsApp
 
nje ya topic. naomba kujua je kuna namna yoyote naweza kuzuia incoming video calls kwenye whatsapp. sitaki kublock watu. nimajaribu kutafuta namna bila mafaniko au hiyo feature haipo 🤔
 
Kuna wauza nguo na vipochi huwa napita mita mia pembeni, motivational speakers na wanaojaza videos zako walizojirekodi wakibenua midomo na kuzungukwa na vipepeo sijui kama paka duh!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa unakuta lijamaa lina imba imba wasap linalegeza macho na mapoz kibao, ukiongezea na ma picha ya Happybirthdei mchizi na midevu et ana weka mapozi na kumwagiana maji. mambo ya kike haya
 
Inaonesha watu wanaoweka status na kuview, ni wale ambao hawajamature, na hawana kazi za kufanya,, hehe
 
Kama uview status zangu na zako sitaview.
Kama unaweka mistatus mingi isiyo na mpango tofauti na biashara pia siview.
 
Umeondoaje mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…