Mmh unauhakika vinahusiana na ndoto yako ?Daaah aiseeee...
Nakumbuka hizo ndoto nilikua naota kipindi flan..
Basi kila mmama naempata sikai nae hata mwezi tunazunguana..
Alhamdullilah kwa sasa huyu kidogo nimekaa nae mwaka sasa
Si kiatu kasema unapoteza ndotoni..Mmh unauhakika vinahusiana na ndoto yako ?
Gudubai..πππJana nimeota nyama ya nyoka imechomwa vizuri nikalaπ
Jana nimeota nyama ya nyoka imechomwa vizuri nikalaπ
Tumia tafsida mkuu πππππKuwa wengine wanaota wako uchi, hawana nguo in a public place.
Mungu alinena nae mussa hiko kiatu...Kuna kipindi ilifululiza hii ndoto! Tena nilipoteza kiatu cheusi.
Nikajiroga kumsimulia mlokole mmoja nilijuta
Hiyo ndoto ni ukiwa unapenda kuanika mambo yako unasimulia kila mtu ndio utaiota kama onyo!Kuwa wengine wanaota wako uchi, hawana nguo in a public place.
Ulijuta nn?Kuna kipindi ilifululiza hii ndoto! Tena nilipoteza kiatu cheusi.
Nikajiroga kumsimulia mlokole mmoja nilijuta
Usinitishe mbuzi weweπGudubai..πππ
Ukute atalishwa joka live live ..Ohoo! Tafuta mganga chap, hiyo ndoto watakuibia nyota yako kali. Ukihitaji mganga mzuri, nione.π
Yes ni ishara ya kukwama katika kupiga hatua za kimaendeleo na kupoteza uelekeo wa kusonga mbele maishani,Kuota umepoteza kiatu kwa ujumla kunaashiria kupoteza mwelekeo, kukwama kwa safari ya mafanikio, au kupoteza utambulisho na ulinzi katika maisha yako ya kila siku.
View attachment 3589211
Kiatu katika ulimwengu wa ndoto huwakilisha maandalizi ya hatima yako, mamlaka, na jinsi unavyopiga hatua kuelekea malengo yako.
Aibu....Kuwa wengine wanaota wako uchi, hawana nguo in a public place.
Ah hapana sikanyagi pande hizo katu!ππ½ββοΈOhoo! Tafuta mganga chap, hiyo ndoto watakuibia nyota yako kali. Ukihitaji mganga mzuri, nione.π
Mmejisahau walokole kwa kukuza mambo?Ulijuta nn?