Nina elimu ya mtaani na darasani mkuu.. Nimesoma na kwenda field 💪🏿Respect mkuu..... umeongea vitu really na sensitive kabisa khs hizo ndoto 2..
1... unakimbizwa unashindwa kukimbia
2... ile unadondoka hufiki chini unaelea hewani
Swali dogo, haya mambo unayajuaje mkuu ? Dah ama kipaji au mnafunuliwa
Mshana Jr
Ndiko ndoria
Kuota unapaa ni moja kati ya ndoto za kawaida na za kale zaidi duniani, na maana yake hutegemea sana jinsi ulivyojisikia wakati unapaa na muktadha wa maisha yako kwa sasa.Mshana Jr Mimi Huwa naota napaa, unamaanisha Nini,
Saivi ndio mnakaa bunju🤣🤣Daaah aiseeee...
Nakumbuka hizo ndoto nilikua naota kipindi flan..
Basi kila mmama naempata sikai nae hata mwezi tunazunguana..
Alhamdullilah kwa sasa huyu kidogo nimekaa nae mwaka sasa
Ndio ila nahama sio.mda mi siwezi aisee ehuku mbali alafu hamna hata wamama wamama waiseeeSaivi ndio mnakaa bunju🤣🤣