Ah hapana sikanyagi pande hizo katu!ππ½ββοΈ
Tupe interpretation yakoβ
Wrong interpretation.
Skutishi we penda kula kula.hv hv na hapo bado its startedUsinitishe mbuzi weweπ
Sifanyi izo mambo acha wabebe tuπShauri yako, nyota yako kali ipo mashakani. Tafuta mganga chap.
Sasa nipo ndotoni naoendaje ?π€·π½ββοΈSkutishi we penda kula kula.hv hv na hapo bado its started
Nikufundishe kitu mdogo etu..Sasa nipo ndotoni naoendaje ?π€·π½ββοΈ
InategemeaMmejisahau walokole kwa kukuza mambo?
Nilikipata kiatu changu, hapo vipi?πInategemea
Yamkini alikua sahihi we ukaona amekuza mambo
Btw, si kila mtu anaweza kutafsiri ndoto
Pia mtu anaweza kutafsiri still bado qsikusaidie ....coz tafsiri sio issue ila ujumbe uliobebwa na hiyo ndoto!
Nb;mwisho wa ndoto , ndo hali halisiπ
Atapoteza nani kama sio ndugu wa babaπKiatu hakipotei kinapotezwa
Ukishiba una dharau!!π€Nikufundishe kitu mdogo etu..
Njoo nikufinye wewe!Hata sasa hapo huwenda upo ndotoni ila hujui sasa jaribu kujifinya ukiskia maumivu jua upo really ila usiposkia jua unaota...
INCEPTION
Ni sawa...ndo maana nimesema inategemea alikupa tafsiri ipi.....mi sijuiNilikipata kiatu changu, hapo vipi?π
Ujue nimekula nini..Ukishiba una dharau!!π€
ππππππ UtaumiaNjoo nikufinye wewe!
Nguo au Vazi - To covering the bodyTupe interpretation yako