kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Ndoto hii inaashiria kuwa kuna tatizo au jukumu zito kwenye maisha yako halisi ambalo unahisi huna uwezo wa kulitatua.Duh... na vp kuota unakimbizwa alafu unashindwa kukumbia ?
Ama ile undadondoka let's say kutoka hewani hadi chini ila hufiki unaelea tu hewani
Wasichana wa umri huu wanawakilisha mwanzo wa ujana, nguvu, na maisha yasiyokuwa na majukumu mazito.Nna kama mwezi hivi naota nnatoka na visichana vidogo yaani miaka 18 mpaka 20 sio zaidi ya hapo
Na ndoto inajirudia rudia baada ya siku 3 mpaka wiki inajirudia
Na nampango wa kuoa sasa sijui hii ndogo inanishtua nn? Maana mimi ni babu wa miaka 30.
Nataka kujua uchi-means..Nguo au Vazi - To covering the body
- Carrying your identity mfano nguo za mwanajeshi.
Tafsiri inakua
-
Tena mimi naotaga napuuu kabisa ndani ya ndoto nagundua hapa sio chooni π€Kuwa wengine wanaota wako uchi, hawana nguo in a public place.
Me sibonyezagi 1 kufanikisha muamalaThread 'Ukiona choo ndotoni usikitumie' Ukiona choo ndotoni usikitumie
Mkuu nifafanulie tena kidogoWasichana wa umri huu wanawakilisha mwanzo wa ujana, nguvu, na maisha yasiyokuwa na majukumu mazito.
Ndoto hii inaweza kuashiria kuwa unatamani kurejesha nishati, uhuru, au msisimko uliokuwa nao zamani, hasa kama kwa sasa maisha yako yamejaa majukumu mazito ya kikazi au kifamilia.
π€£π€£π€£Hii picha tangu 2001 unayo tu
πππππKuna kipindi ilifululiza hii ndoto! Tena nilipoteza kiatu cheusi.
Nikajiroga kumsimulia mlokole mmoja nilijuta
Watu hawaelewi katika ulimwengu wa ndoto na kwa kiaisi gani transaction za hatma hufanyika. Na hapa ndipo watu wanatakiwa waelewe concept ya kulala na usingizi, pasipo kuelewa kwa kina kwa habari ya usingizi na ndoto hatma nyingi za watu zimekuwa locked na kupewa na direction na viumbe wengine kupitia ulimwengu wa ndoa ( usingizi na kulala ni fumbo sana ) na ndio maana mtu ane tembea katika daraja flani ndani ya ulimwengu wa roho hukuti analala zaidi ya masaa mawili na haya masaa mawili analala kimkakati sio kama nyau πππKuota umepoteza kiatu kwa ujumla kunaashiria kupoteza mwelekeo, kukwama kwa safari ya mafanikio, au kupoteza utambulisho na ulinzi katika maisha yako ya kila siku.
View attachment 3589211
Kiatu katika ulimwengu wa ndoto huwakilisha maandalizi ya hatima yako, mamlaka, na jinsi unavyopiga hatua kuelekea malengo yako.
Inabidi Kuchukua maamuzi ya Kuchagua serikali gani uitumikia, ili ikupe Vazi. Kingdom of Light ot Kingdom of darkness,,,Tena mimi naotaga napuuu kabisa ndani ya ndoto nagundua hapa sio chooni π€
Nashutuka kabla ya usumbufu
Ila sema naota sana nikiwa uchi ile ile utasema me ni mwangaπ
Hivi wachawi wana mpendea nini paka.Ndoto ni unajimu sio uloziπView attachment 3589245