Je, huyu ndiye IGP ajaye? Mfahamu Kamishna Awadhi Juma Haji, anayesimamia Operesheni za Polisi

Awadh anatufaa maana Sugu amefanya Mbeya kuwa mahali pa hovyo sana
 
Mkuu si unakumbuka Ramadhani Kingai alivyosuka kesi ya mchongo ya ugaidi na jinsi alivyodhalilishwa kwa maswali ya Kibatala hadi akapata fistula baada ya kesi kufutwa akazawadiwa kuwa DCI. Huko CCM udhalimu ni sifa ya utendaji uliotukuka.
sasa hapo kapanda ngazi au kashuka? ilitakiws ashtakiwe km kina Bageni lkn anapeta.
usuahindane na aliyeshika mpini, lile kundi lililokamatwa na kina Moiwe kuna waliokufa acha kuteswa, sasa usuahindane na Kamishna wa Visuwani aliyetoka Kondoa
 
Ajiandae na msululu wa shitaka lake binafsi kama ulivyosema binafsi
 
Akiendekeza tabia ya Omary Mahita kwa kizazi cha sasa atayeyuka kama mvute kwenye kiangazi
 
Huwezi kubadikisha IGP wakati una uchaguzi wa Serikali za mitaa na huu Mkuu.

IGP ni mtu mkubwa mno ndugu zangu, acheni mizaha..Yaana wampe u IGP huyu mtuhumiwa wa mateso ya wananch wasio na hatia kule Mbeya kweli?
Mkuu wakati wa kumtafuta huyu IGP ndipo Awadh alipopandishwa cheo na kuwa Kamishna, akumbuka akiwa Ilala tukajua ndio maandalizi ya u IGP, mkuu akashtuka hivyo yupo pending tusubirie Uchaguzi, mkumbuke yule IGP
o aliyepita hakukaa muda wambeya wakamchoma
 
Hiki ndicho kipimo cha akili cha baadhi ya watanzania, ujinga bado umeota mizizi miaka 60 baada ya kupata uhuru. Imagine mtu kama wewe upewe nafasi ya kuongoza au kufanya maamuzi ni hasara tupu.
 
Hiki ndicho kipimo cha akili cha baadhi ya watanzania, ujinga bado umeota mizizi miaka 60 baada ya kupata uhuru. Imagine mtu kama wewe upewe nafasi ya kuongoza au kufanya maamuzi ni hasara tupu.
Just relax, his comment is just a sarcasm
 
Naona dogo Willy Mkonda zaidi ya huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…