Je, huyu ndiye IGP ajaye? Mfahamu Kamishna Awadhi Juma Haji, anayesimamia Operesheni za Polisi

🎓🎓🎓sijui tumehitimu

Kumekuwa na Wimbi kubwa la Watanzania kunywa pombe kupita kiasi.. Hali inayosababisha Chuki kwenye Jamii Sana (Mjamaa anakunywa Sana Bia badala ya Kujenga Nyumba, kununua matofali, Nondo, Sementi na bidhaa nyingine zinazobebwa na malori), Ajali lakini sio Sana, Vifo lakini sio sana

Wizara ipo kwenye mchakato wa kuandaaa Sera ya Vileo pamoja na Kanuni moja ya Eneo linalotakiwa ni "Kutamka Idadi ya Bia ambazo Mtanzania anatakiwa Kunywa kwa Siku" 0,1, ........2000

Ni jambo zuri sana Tutapata Kodi nyingi sana za VAT kupitia Sheria hii na kujenga nchi yetu na isitegemee kabisa fedha za wafadhili

Toa maoni pamoja na uzoefu wa nchi nyingine watanzania wanasafiri sana Marekani, India, China, Malawi, Bukinafaso, Misri n.k

Jivunie Tabia yako "Akitakacho Hakipo hapa duniani"
Mkuu kwema, mbona Post yako hii 👆unairudia Sana kwenye Post za watu
 
Mwamba enzi zake amekula sana rushwa ya madereva wa daladala. Na amefanya kazi ya kutukuka sana kukabiliana na Chadema juzi kule Mbeya, yeye kwa mikono yake amewashughulikia vizuri sana Sugu na Mnyika na wote wako hoi Hospitslini, mimi nasema APEWE U IGP ANASTAHILI.
kuna rafiki ya dada yangu walipiga sana pesa hizo za rushwa. alikua anamkaza huyo manzi. huyu mrangi ni makalio.
 
Mmoja wa maafisa wa ngazi za juu katika Jeshi la Polisi la Tanzania sasa yupo katika spotlight kwa madai ya kuongoza ukatili wa Polisi dhidi ya Wanachama wa upinzani.

Kamishna wa Polisi Awadhi Juma Haji, ambaye anasimamia operesheni na mafunzo, amepata umaarufu wa umma kufuatia tuhuma za vurugu za polisi wakati wa kukamatwa kwa viongozi wa upinzani huko Mbeya Jumapili kwenye mkutano wa vijana uliozuiwa.

CP Haji aliongoza binafsi operesheni hiyo ambayo ilisababisha kukamatwa kwa mamia ya viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao. Zaidi ya watu 500 walikamatwa katika operesheni hiyo ya Polisi.

Mabasi na magari binafsi yaliyokuwa yamebeba viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao waliokuwa wakielekea Mbeya kuhudhuria mkutano wa upinzani uliopangwa kwenye Siku ya Kimataifa ya Vijana yalizuiliwa na Polisi barabarani.

Wakati wa operesheni hiyo, viongozi wa CHADEMA walidai kuwa walikabiliwa na ukatili mkubwa kutoka kwa Polisi.
View attachment 3069803
Kamishna Awadhi Juma Haji

JE, KAMISHNA AWADHI JUMA HAJI NI NANI?

Kamishna Awadhi Juma Haji (CP) kwa sasa anahudumu kama Kamishna wa Operesheni na Mafunzo katika Jeshi la Polisi la Tanzania.

Mnamo Februari 2, 2022, Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, alimteua Awadhi Juma Haji kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar.

Kabla ya uteuzi huu, mnamo Januari 31, 2022, Rais Samia alimpandisha Cheo kutoka Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) hadi Kamishna wa Polisi.

SAFARI YA KUTOKA KUJIUNGA NA POLISI HADI KUTEULIWA

Awadhi Juma Haji alijiunga na Jeshi la Polisi la Tanzania mnamo Aprili 1, 1993, na alipanda vyeo mbalimbali hadi kufikia cheo cha ACP, ambacho alishikilia hadi Januari 31, 2022.

Katika utumishi wake, alishikilia nyadhifa muhimu kadhaa, zikiwemo:​
  1. Mwendesha Mashtaka​
  2. Mkuu wa Kituo cha Polisi (OCS) – Kituo cha Polisi Oysterbay​
  3. Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Mkoa wa Kipolisi Ilala​
  4. Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Kinondoni​
  5. Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Kanda Maalum ya Dar es Salaam (ZTO)​
  6. Afisa Mnadhimu wa Kwanza – Mkoa wa Kipolisi Temeke​
  7. Kamanda wa Polisi – Mkoa wa Mjini Magharibi​
  8. Kamanda wa Polisi – Mkoa wa Kagera (Nafasi aliyoishikilia hadi uteuzi wa Zanzibar)​

Huyo anatajwa kama mtu katili sana mwenye roho ya ushetani mkubwa. Huyu anatajwa kuwa ndiye aliyeongoza mauaji ya wanachama wa ACT Wazalendo kule Zanzibar.

Kimsingi tumepewa shetani asimamie usalama wa wananchi.
 
Huyo msambaa ndiyo kilaza kabisa aliyumba sana kujibu maswali ya Kibatala hata hiyo nafasi ya DCi sijui alipata kwa vigezo gani. Awadh asingejiingiza kwenye hili sakata la Mbeya alikuwa possible candidate.
Hao wote wawili, Awadh na Kingai, ni mashetani wakubwa. Hakuna wa afadhali. Fuatilia kila mahali walipopita.
 
Mmoja wa maafisa wa ngazi za juu katika Jeshi la Polisi la Tanzania sasa yupo katika spotlight kwa madai ya kuongoza ukatili wa Polisi dhidi ya Wanachama wa upinzani.

Kamishna wa Polisi Awadhi Juma Haji, ambaye anasimamia operesheni na mafunzo, amepata umaarufu wa umma kufuatia tuhuma za vurugu za polisi wakati wa kukamatwa kwa viongozi wa upinzani huko Mbeya Jumapili kwenye mkutano wa vijana uliozuiwa.

CP Haji aliongoza binafsi operesheni hiyo ambayo ilisababisha kukamatwa kwa mamia ya viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao. Zaidi ya watu 500 walikamatwa katika operesheni hiyo ya Polisi.

Mabasi na magari binafsi yaliyokuwa yamebeba viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao waliokuwa wakielekea Mbeya kuhudhuria mkutano wa upinzani uliopangwa kwenye Siku ya Kimataifa ya Vijana yalizuiliwa na Polisi barabarani.

Wakati wa operesheni hiyo, viongozi wa CHADEMA walidai kuwa walikabiliwa na ukatili mkubwa kutoka kwa Polisi.
View attachment 3069803
Kamishna Awadhi Juma Haji

JE, KAMISHNA AWADHI JUMA HAJI NI NANI?

Kamishna Awadhi Juma Haji (CP) kwa sasa anahudumu kama Kamishna wa Operesheni na Mafunzo katika Jeshi la Polisi la Tanzania.

Mnamo Februari 2, 2022, Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, alimteua Awadhi Juma Haji kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar.

Kabla ya uteuzi huu, mnamo Januari 31, 2022, Rais Samia alimpandisha Cheo kutoka Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) hadi Kamishna wa Polisi.

SAFARI YA KUTOKA KUJIUNGA NA POLISI HADI KUTEULIWA

Awadhi Juma Haji alijiunga na Jeshi la Polisi la Tanzania mnamo Aprili 1, 1993, na alipanda vyeo mbalimbali hadi kufikia cheo cha ACP, ambacho alishikilia hadi Januari 31, 2022.

Katika utumishi wake, alishikilia nyadhifa muhimu kadhaa, zikiwemo:​
  1. Mwendesha Mashtaka​
  2. Mkuu wa Kituo cha Polisi (OCS) – Kituo cha Polisi Oysterbay​
  3. Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Mkoa wa Kipolisi Ilala​
  4. Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Kinondoni​
  5. Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Kanda Maalum ya Dar es Salaam (ZTO)​
  6. Afisa Mnadhimu wa Kwanza – Mkoa wa Kipolisi Temeke​
  7. Kamanda wa Polisi – Mkoa wa Mjini Magharibi​
  8. Kamanda wa Polisi – Mkoa wa Kagera (Nafasi aliyoishikilia hadi uteuzi wa Zanzibar)​
Hkwa hiyo zama hizi kigezo Cha kapanda cheo ni roho mbaya na ukatili kwa chadema

Lakini ndugu haji juma kama unadhani ukatili utakupa ulaji angalia waliokutangulia
 
Mwamba enzi zake amekula sana rushwa ya madereva wa daladala. Na amefanya kazi ya kutukuka sana kukabiliana na Chadema juzi kule Mbeya, yeye kwa mikono yake amewashughulikia vizuri sana Sugu na Mnyika na wote wako hoi Hospitslini, mimi nasema APEWE U IGP ANASTAHILI.
Ni jambo la kutia huzuni sana kuna watanzania kama huwa wanafurahia sana mateso, vifo na madhila mengine kwa watanzania wenzao, hata pale ambapo sheria za nchi zinapovunjwa na wanaotakiwa kuzilinda. Kama huwezi kutetea haki ya mtanzania mwenzako inapovunjwa, basi kaa ujue kwamba hata pale utakapokosa huduma muhimu za kijamii na haki zako za msingi kutoweza kufanya chochote. Mbaya zaidi hao unaowasifia kwa kuvunja sheria, ambao wanafanya ili kujiimarisha wenyewe personally hawakukui na hawatakaa wakukumbuke au kukusaidia kwa lolote. Watu kama wewe kwenye jamii yetu ndiyo vikwazo vikubwa kwenye maendeleo, kuondoa ujinga, umaskini nk... Bahati nzuri karma mwisho wa siku inawarudia hata nyinyi.
 
Back
Top Bottom