Hapa bado sijaelewa una maana gani?Kupiga Wapinzani BILA SABABU ndio apandishwe cheo.
Atawapigaje wapinzani bila sababu? Ni lazima atakuwa na sababu za kuwapiga hata kama si sababu halali.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa bado sijaelewa una maana gani?Kupiga Wapinzani BILA SABABU ndio apandishwe cheo.
Siku hiyo hatua ikivukwa balaa lake litafika ICCJust Polisi wasiozido 50 wamewakamata kama kuku wa kizungu au senene watu 500 ndani ya masaa yasiyozidi matatu
Wapinzani walitii Amri kwa kuanza kupanda Makarandinga lakini BILA SABABU Afande Awadhi akaanza kuwapiga.Hapa bado sijaelewa una maana gani?
Atawapigaje wapinzani bila sababu? Ni lazima atakuwa na sababu za kuwapiga hata kama si sababu halali.!
Ni ndugu na Mnishi yule mpiga kodiani na kuimba MoshiMmoja wa maafisa wa ngazi za juu katika Jeshi la Polisi la Tanzania sasa yupo katika spotlight kwa madai ya kuongoza ukatili wa Polisi dhidi ya Wanachama wa upinzani.
Kamishna wa Polisi Awadhi Juma Haji, ambaye anasimamia operesheni na mafunzo, amepata umaarufu wa umma kufuatia tuhuma za vurugu za polisi wakati wa kukamatwa kwa viongozi wa upinzani huko Mbeya Jumapili kwenye mkutano wa vijana uliozuiwa.
CP Haji aliongoza binafsi operesheni hiyo ambayo ilisababisha kukamatwa kwa mamia ya viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao. Zaidi ya watu 500 walikamatwa katika operesheni hiyo ya Polisi.
Mabasi na magari binafsi yaliyokuwa yamebeba viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao waliokuwa wakielekea Mbeya kuhudhuria mkutano wa upinzani uliopangwa kwenye Siku ya Kimataifa ya Vijana yalizuiliwa na Polisi barabarani.
Wakati wa operesheni hiyo, viongozi wa CHADEMA walidai kuwa walikabiliwa na ukatili mkubwa kutoka kwa Polisi.
JE, KAMISHNA AWADHI JUMA HAJI NI NANI?Kamishna Awadhi Juma Haji (CP) kwa sasa anahudumu kama Kamishna wa Operesheni na Mafunzo katika Jeshi la Polisi la Tanzania.
Mnamo Februari 2, 2022, Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, alimteua Awadhi Juma Haji kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar.
Kabla ya uteuzi huu, mnamo Januari 31, 2022, Rais Samia alimpandisha Cheo kutoka Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) hadi Kamishna wa Polisi.
SAFARI YA KUTOKA KUJIUNGA NA POLISI HADI KUTEULIWAAwadhi Juma Haji alijiunga na Jeshi la Polisi la Tanzania mnamo Aprili 1, 1993, na alipanda vyeo mbalimbali hadi kufikia cheo cha ACP, ambacho alishikilia hadi Januari 31, 2022.
Katika utumishi wake, alishikilia nyadhifa muhimu kadhaa, zikiwemo:
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Kituo cha Polisi (OCS) – Kituo cha Polisi Oysterbay Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Mkoa wa Kipolisi Ilala Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Kinondoni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Kanda Maalum ya Dar es Salaam (ZTO) Afisa Mnadhimu wa Kwanza – Mkoa wa Kipolisi Temeke Kamanda wa Polisi – Mkoa wa Mjini Magharibi Kamanda wa Polisi – Mkoa wa Kagera (Nafasi aliyoishikilia hadi uteuzi wa Zanzibar)
Nyoko nyoko labda Kamishina ushuzi na wazenji kwa kujamba hawajambo, Hana sifa ya kuwa IGPMmoja wa maafisa wa ngazi za juu katika Jeshi la Polisi la Tanzania sasa yupo katika spotlight kwa madai ya kuongoza ukatili wa Polisi dhidi ya Wanachama wa upinzani.
Kamishna wa Polisi Awadhi Juma Haji, ambaye anasimamia operesheni na mafunzo, amepata umaarufu wa umma kufuatia tuhuma za vurugu za polisi wakati wa kukamatwa kwa viongozi wa upinzani huko Mbeya Jumapili kwenye mkutano wa vijana uliozuiwa.
CP Haji aliongoza binafsi operesheni hiyo ambayo ilisababisha kukamatwa kwa mamia ya viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao. Zaidi ya watu 500 walikamatwa katika operesheni hiyo ya Polisi.
Mabasi na magari binafsi yaliyokuwa yamebeba viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao waliokuwa wakielekea Mbeya kuhudhuria mkutano wa upinzani uliopangwa kwenye Siku ya Kimataifa ya Vijana yalizuiliwa na Polisi barabarani.
Wakati wa operesheni hiyo, viongozi wa CHADEMA walidai kuwa walikabiliwa na ukatili mkubwa kutoka kwa Polisi.
JE, KAMISHNA AWADHI JUMA HAJI NI NANI?Kamishna Awadhi Juma Haji (CP) kwa sasa anahudumu kama Kamishna wa Operesheni na Mafunzo katika Jeshi la Polisi la Tanzania.
Mnamo Februari 2, 2022, Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, alimteua Awadhi Juma Haji kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar.
Kabla ya uteuzi huu, mnamo Januari 31, 2022, Rais Samia alimpandisha Cheo kutoka Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) hadi Kamishna wa Polisi.
SAFARI YA KUTOKA KUJIUNGA NA POLISI HADI KUTEULIWAAwadhi Juma Haji alijiunga na Jeshi la Polisi la Tanzania mnamo Aprili 1, 1993, na alipanda vyeo mbalimbali hadi kufikia cheo cha ACP, ambacho alishikilia hadi Januari 31, 2022.
Katika utumishi wake, alishikilia nyadhifa muhimu kadhaa, zikiwemo:
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Kituo cha Polisi (OCS) – Kituo cha Polisi Oysterbay Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Mkoa wa Kipolisi Ilala Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Kinondoni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Kanda Maalum ya Dar es Salaam (ZTO) Afisa Mnadhimu wa Kwanza – Mkoa wa Kipolisi Temeke Kamanda wa Polisi – Mkoa wa Mjini Magharibi Kamanda wa Polisi – Mkoa wa Kagera (Nafasi aliyoishikilia hadi uteuzi wa Zanzibar)
Umetoka mbwinde juzi ww bila shaka kama hujui uliza kilichomtoa kinondoniKwa cheo chake hakuwa mtu wa kukaa barabarani
Unayo matumaini sana na huyo Rais wako Samia, sijui huwa matumaini hayo unayatoa wapi!Wapinzani walitii Amri kwa kuanza kupanda Makarandinga lakini BILA SABABU Afande Awadhi akaanza kuwapiga.
BILA SABABU!
Ili kurudisha HOPE Raisi Samia amfukuze kazi huyu Kamanda mara moja na apandishwe Kizimbani.
Huyu ni kada wa chama cha mapinduzi...anahusika na uenezi wa chama na kuhujumu upinzaniMmoja wa maafisa wa ngazi za juu katika Jeshi la Polisi la Tanzania sasa yupo katika spotlight kwa madai ya kuongoza ukatili wa Polisi dhidi ya Wanachama wa upinzani.
Kamishna wa Polisi Awadhi Juma Haji, ambaye anasimamia operesheni na mafunzo, amepata umaarufu wa umma kufuatia tuhuma za vurugu za polisi wakati wa kukamatwa kwa viongozi wa upinzani huko Mbeya Jumapili kwenye mkutano wa vijana uliozuiwa.
CP Haji aliongoza binafsi operesheni hiyo ambayo ilisababisha kukamatwa kwa mamia ya viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao. Zaidi ya watu 500 walikamatwa katika operesheni hiyo ya Polisi.
Mabasi na magari binafsi yaliyokuwa yamebeba viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao waliokuwa wakielekea Mbeya kuhudhuria mkutano wa upinzani uliopangwa kwenye Siku ya Kimataifa ya Vijana yalizuiliwa na Polisi barabarani.
Wakati wa operesheni hiyo, viongozi wa CHADEMA walidai kuwa walikabiliwa na ukatili mkubwa kutoka kwa Polisi.
JE, KAMISHNA AWADHI JUMA HAJI NI NANI?Kamishna Awadhi Juma Haji (CP) kwa sasa anahudumu kama Kamishna wa Operesheni na Mafunzo katika Jeshi la Polisi la Tanzania.
Mnamo Februari 2, 2022, Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, alimteua Awadhi Juma Haji kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar.
Kabla ya uteuzi huu, mnamo Januari 31, 2022, Rais Samia alimpandisha Cheo kutoka Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) hadi Kamishna wa Polisi.
SAFARI YA KUTOKA KUJIUNGA NA POLISI HADI KUTEULIWAAwadhi Juma Haji alijiunga na Jeshi la Polisi la Tanzania mnamo Aprili 1, 1993, na alipanda vyeo mbalimbali hadi kufikia cheo cha ACP, ambacho alishikilia hadi Januari 31, 2022.
Katika utumishi wake, alishikilia nyadhifa muhimu kadhaa, zikiwemo:
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Kituo cha Polisi (OCS) – Kituo cha Polisi Oysterbay Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Mkoa wa Kipolisi Ilala Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Kinondoni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Kanda Maalum ya Dar es Salaam (ZTO) Afisa Mnadhimu wa Kwanza – Mkoa wa Kipolisi Temeke Kamanda wa Polisi – Mkoa wa Mjini Magharibi Kamanda wa Polisi – Mkoa wa Kagera (Nafasi aliyoishikilia hadi uteuzi wa Zanzibar)
Labda SABABU ni kuwa WAPINZANI?!Mkuu, 'imhotep'; Kamanda Juma Awadh hawezi kuwapiga/washambulia viongozi wa CHADEMA bila sababu. Ni dhahiri anazo sababu za kufanya hivyo.
Huyu Mama namkubali ni mstaarabu na ni very professional lakini watu kama hao hawatakiwi na CCM wao wanataka watu wa ovyo wa kuwafanyia kazi chafu kama alivyofanya Awadh juzi huko MbeyaSuzana Kaganda a proffessional woman police
Nakumbuka nikiwa na Coster zangu daladala, siku moja dereva wangu akanipigia simu amekamatwa na traffic pale American Chips.Mmoja wa maafisa wa ngazi za juu katika Jeshi la Polisi la Tanzania sasa yupo katika spotlight kwa madai ya kuongoza ukatili wa Polisi dhidi ya Wanachama wa upinzani.
Kamishna wa Polisi Awadhi Juma Haji, ambaye anasimamia operesheni na mafunzo, amepata umaarufu wa umma kufuatia tuhuma za vurugu za polisi wakati wa kukamatwa kwa viongozi wa upinzani huko Mbeya Jumapili kwenye mkutano wa vijana uliozuiwa.
CP Haji aliongoza binafsi operesheni hiyo ambayo ilisababisha kukamatwa kwa mamia ya viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao. Zaidi ya watu 500 walikamatwa katika operesheni hiyo ya Polisi.
Mabasi na magari binafsi yaliyokuwa yamebeba viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao waliokuwa wakielekea Mbeya kuhudhuria mkutano wa upinzani uliopangwa kwenye Siku ya Kimataifa ya Vijana yalizuiliwa na Polisi barabarani.
Wakati wa operesheni hiyo, viongozi wa CHADEMA walidai kuwa walikabiliwa na ukatili mkubwa kutoka kwa Polisi.
JE, KAMISHNA AWADHI JUMA HAJI NI NANI?Kamishna Awadhi Juma Haji (CP) kwa sasa anahudumu kama Kamishna wa Operesheni na Mafunzo katika Jeshi la Polisi la Tanzania.
Mnamo Februari 2, 2022, Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, alimteua Awadhi Juma Haji kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar.
Kabla ya uteuzi huu, mnamo Januari 31, 2022, Rais Samia alimpandisha Cheo kutoka Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) hadi Kamishna wa Polisi.
SAFARI YA KUTOKA KUJIUNGA NA POLISI HADI KUTEULIWAAwadhi Juma Haji alijiunga na Jeshi la Polisi la Tanzania mnamo Aprili 1, 1993, na alipanda vyeo mbalimbali hadi kufikia cheo cha ACP, ambacho alishikilia hadi Januari 31, 2022.
Katika utumishi wake, alishikilia nyadhifa muhimu kadhaa, zikiwemo:
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Kituo cha Polisi (OCS) – Kituo cha Polisi Oysterbay Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Mkoa wa Kipolisi Ilala Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Kinondoni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Kanda Maalum ya Dar es Salaam (ZTO) Afisa Mnadhimu wa Kwanza – Mkoa wa Kipolisi Temeke Kamanda wa Polisi – Mkoa wa Mjini Magharibi Kamanda wa Polisi – Mkoa wa Kagera (Nafasi aliyoishikilia hadi uteuzi wa Zanzibar)
Kwa sasa ndio kigezo kikubwa cha kupandishwa cheo huko polisi.Kupiga Wapinzani BILA SABABU ndio apandishwe cheo.
Kawaida Waislam ni wakatili sana. Na hasa wanapoona viongozi ni Wakristu wanazidisha ukatili wao mara 1,000Yqani vyuma vyote vya moto, IGP wa sasa moto, na akija Awadhi ndio kabisaaaa, bakuli la chuma, uji wa moto
Hawezi kupewa huyu. Hana utulivu na ni mbabe na mtu wa mabavu. Usione sasahivi katulia sababu ameshakuwa kamishna. Nafasi ya IGP inahitaji kichwa kilichotulia sanaMmoja wa maafisa wa ngazi za juu katika Jeshi la Polisi la Tanzania sasa yupo katika spotlight kwa madai ya kuongoza ukatili wa Polisi dhidi ya Wanachama wa upinzani.
Kamishna wa Polisi Awadhi Juma Haji, ambaye anasimamia operesheni na mafunzo, amepata umaarufu wa umma kufuatia tuhuma za vurugu za polisi wakati wa kukamatwa kwa viongozi wa upinzani huko Mbeya Jumapili kwenye mkutano wa vijana uliozuiwa.
CP Haji aliongoza binafsi operesheni hiyo ambayo ilisababisha kukamatwa kwa mamia ya viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao. Zaidi ya watu 500 walikamatwa katika operesheni hiyo ya Polisi.
Mabasi na magari binafsi yaliyokuwa yamebeba viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao waliokuwa wakielekea Mbeya kuhudhuria mkutano wa upinzani uliopangwa kwenye Siku ya Kimataifa ya Vijana yalizuiliwa na Polisi barabarani.
Wakati wa operesheni hiyo, viongozi wa CHADEMA walidai kuwa walikabiliwa na ukatili mkubwa kutoka kwa Polisi.
JE, KAMISHNA AWADHI JUMA HAJI NI NANI?Kamishna Awadhi Juma Haji (CP) kwa sasa anahudumu kama Kamishna wa Operesheni na Mafunzo katika Jeshi la Polisi la Tanzania.
Mnamo Februari 2, 2022, Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, alimteua Awadhi Juma Haji kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar.
Kabla ya uteuzi huu, mnamo Januari 31, 2022, Rais Samia alimpandisha Cheo kutoka Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) hadi Kamishna wa Polisi.
SAFARI YA KUTOKA KUJIUNGA NA POLISI HADI KUTEULIWAAwadhi Juma Haji alijiunga na Jeshi la Polisi la Tanzania mnamo Aprili 1, 1993, na alipanda vyeo mbalimbali hadi kufikia cheo cha ACP, ambacho alishikilia hadi Januari 31, 2022.
Katika utumishi wake, alishikilia nyadhifa muhimu kadhaa, zikiwemo:
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Kituo cha Polisi (OCS) – Kituo cha Polisi Oysterbay Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Mkoa wa Kipolisi Ilala Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Kinondoni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani – Kanda Maalum ya Dar es Salaam (ZTO) Afisa Mnadhimu wa Kwanza – Mkoa wa Kipolisi Temeke Kamanda wa Polisi – Mkoa wa Mjini Magharibi Kamanda wa Polisi – Mkoa wa Kagera (Nafasi aliyoishikilia hadi uteuzi wa Zanzibar)
Kama ilivyokuwa kwa Wanamgambo wa Interahamwe, ukiua watu wengi unapandishwa cheo.Kwa sasa ndio kigezo kikubwa cha kupandishwa cheo huko polisi.