Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Yaani ndio maana wamekomaa sana juzi kule mbeye wanajua kuna malipo ya vyeo?Mkuu si unakumbuka Ramadhani Kingai alivyosuka kesi ya mchongo ya ugaidi na jinsi alivyodhalilishwa kwa maswali ya Kibatala hadi akapata fistula baada ya kesi kufutwa akazawadiwa kuwa DCI. Huko CCM udhalimu ni sifa ya utendaji uliotukuka.