Je, huyu ndiye mwamba wa Afrika kwa sasa?

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
31,913
Reaction score
65,514
Katika siku za hivi karibuni, nime kuwa niki kutana na Picha za huyu mwamba.
👉 akiwa ana Pigana na wanyama was ardhini au hata majini.

Jamaa ana pigana kwa Uwezo mkubwa. wanao mjua watu ambie je ni mtu wa wapi???
👉Ona mfano wa mapigano yake🤔🤒

Kwa Sasa Africa, tuna kila sababu ya kujivunia. Kilicho baki ni kupata mapambano tu🤒.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…