Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Nimechapia au hakieleweki? Ni lugha yangu ya tatu, nisamehe kama nimechapiaMkuu kiingereza hicho [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimechapia au hakieleweki? Ni lugha yangu ya tatu, nisamehe kama nimechapiaMkuu kiingereza hicho [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sasa utalazimishaje mtu akusaidie ?Kuna mfumo unaitwa mutualism na parasitism.
Mutualism maana yake wote mnafaidi Katika mahusiano au urafiki wenu.
Leo ukipata tatizo mm nikusaidie kkuinua na ikitokea na mm nimepata tatizo unisaidie maisha yaende.
Parasitism ni sawa na kupe kwenye ng'ombe, yeye awe anamnyonya mwenzake wakati yeye hapati chochote zaidi ya maumivu.
Jifunze vzr kitu kinaitwa association.
acquaintanceship ni ile hali ya kuwa na mazoea na mtu ambaye hapo awali hukuwa naye karibu na hivyo kupelekea mfahamiane naye kwa karibu zaidiKuna bombastic words za hatar [emoji23][emoji23]
bwege wewe unayewekeza kwa msaadaNarudia tena wewe jamaa ni bwege, wewe hapo usicho elewa ni nini?
Aisee tulikuwa karibu mkuu mpaka kwao nilienda lakn yeye aligoma kwenda kwetu, na alikuwa anapigia sim balaa na mimi nampigia na nikipata matatzo au yeye akipata tunaombana ushauri.Yawezekana ulihisi ni rafiki yako kwakuwa mlikuwa karibu na alifaidika nawe, kumbe mwenzio kwake wewe sio rafiki. Lakini pia moyo wa kutoa sio kila mtu anao, wengine uchoyo uko damuni.
Its human nature, tunategemea mema kwa wale tunaowatendea mema. Inapotokea tofauti moyo hufadhaika. Lakini kumbuka hawa walikuwa marafiki, msingi wa urafiki ni two way traffic hata kama sio 50/50 lkn angalau basi 60/40.Nasema tena wewe ni kiazi, una msaidia mtu kwa 'kuwekeza' ukipata shida asipokusaidia unalialia, huo ni utopolo
Stori ya yako ina pande mbili, 1. ulimsaidia kwanza 2. ukategemea akusaidie baadae
Its human nature, tunategemea mema kwa wale tunaowatendea mema. Inapotokea tofauti moyo hufadhaika. Lakini kumbuka hawa walikuwa marafiki, msingi wa urafiki ni two way traffic hata kama sio 50/50 lkn angalau basi 60/40.
Kuwa 50/50 haimaanishi kukupa pesa tu. Kukupa faraja pale unapopatwa na janga kama lililompata jamaa huo ndio ubinadamu. Toa muda wako nenda msibani kamfariji, hata usipompa pesa uwepo wako na kumpa faraja inatosha. Binadamu tunaishi kwa kutegemeana hata tukaze mioyo vipi hilo liko hivyo.ina maana masikini hawezikua na urafiki na tajiri , maana inaonekana wazi masikini hatakua na 'pesa' ya kumsaidia rafikiye tajiri kwa vyovyote vile
so hapo ni 100/0 ( one way traffic )
mtoa mada kinachomuuma ni yeye 'alipoteza pesa' uko nyuma kumsaidia rafikiye,
yeye kapata janga, rafiki kagoma 'kurudisha fadhila' , mtoa mada anaumia, anataka hasa asaidiwe, kwakua yeye kasaidia kabla
laiti kama mtoa mada asingeweza msaidia rafikiye kifedha hapo kabla, huu uzi usingeuona, huu nauita 'uwekezaji baridi'
ukitaka kusaidia wewe saidia, chapa lapa, usitoe lawama kwanini hukusaidiwa na yule uliyemsaidia kabla, hata kama ni mama yako
Kuwa 50/50 haimaanishi kukupa pesa tu. Kukupa faraja pale unapopatwa na janga kama lililompata jamaa huo ndio ubinadamu. Toa muda wako nenda msibani kamfariji, hata usipompa pesa uwepo wako na kumpa faraja inatosha. Binadamu tunaishi kwa kutegemeana hata tukaze mioyo vipi hilo liko hivyo.
Ila wewe jamaa umekomaa sana nahisi hata moyo wa utu huna, kwani mimi nilihitaji anisaidie kama kunipa au anikopeshe kama unaroho kama hiyo badilika maisha hayako hivyo. Sijahitaji anipe pesa mimi bali nacho elezea ni the way tulivyo ishi na jamaa na asinikope pesa ihali aliniambia anapesa kabla ya msiba na nilimwambia next week namrudishia sijui huelewi nini tu.kwa hii case ya mtoa mada msaada kwake ni PESA
angalia kote anaongelea pesa kama 'msaada'
alimsaidia rafikiye PESA na yeye anahitaji PESA
Asante mkuu unamjibu vizuri ila nahisi huyu hajielewi yaani kakomaa peke yake kati yawatoa mawazo hum sijui hajiongezi?Kuwa 50/50 haimaanishi kukupa pesa tu. Kukupa faraja pale unapopatwa na janga kama lililompata jamaa huo ndio ubinadamu. Toa muda wako nenda msibani kamfariji, hata usipompa pesa uwepo wako na kumpa faraja inatosha. Binadamu tunaishi kwa kutegemeana hata tukaze mioyo vipi hilo liko hivyo.
Yaani kwakweli watu wahivyo niwakuwaacha, mimi ninarafiki yangu mmoja ni fundi cherehani yaani hakunipa hata 100 lakini alikuwa kila mara ananipigia lakini hili fala nililo litolea uzi lilikuja kunipigia siku nimerudi kazini eti linaniambia kwahyo mwanangu umebaki alone [emoji1787][emoji1787][emoji1787], dah alafu wazazi wangu wote wamesha tangulia mbele za haki baada ya kuondokewa na baba[emoji25][emoji25].Kuna kitu nimekusoma ,sisi tuliokulua maisha ya shida tuna mioyo ya ubinafsi sana kuliko waliokulia maisha ya kawaida ,nikiangalia hata magroup ya classmate au collegemate, kkukiwa na michango ya misiba au matatizo wazito kweli kujitoa,hali wameajiriwa na wanalipwa vizuri unakuta huko mlikuwa mnawasaidia sana ili angalau miaka iende, mngine ni Dr. SUA was my best friend na tupo nae kwa group la wasap jamani nimemsaidia sana mpaka nauli ya kwenda kwao Kigoma ,but nimefiwa na mtoto watu wamechangishana ramvirambia yeye hata pole,na unaona meseji anasoma kweli hiki kitu kiliniuma sana
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Maybe ametaja pesa maana ndio alikuwa na uhitaji nayo zaidi lakini pia amesema msaada wa hali aliotegemea kuupata kutoka kwa aliedhani ni rafiki yake. Hebu tofautisha msaada unaompa tu mtu baki then unakwenda zako. Marafiki zetu ni sehemu ya maisha yetu.kwa hii case ya mtoa mada msaada kwake ni PESA
angalia kote anaongelea pesa kama 'msaada'
alimsaidia rafikiye PESA na yeye anahitaji PESA
Nafikiri kwa upande mwingine pia yuko sahihi, kwamba tunapotoa misaada iwe kwa ndugu,rafiki au mtu yeyote tusiwe na matarajio maana hayo matarajio ndio huwa disappointment kama ilivyotokea kwako.Asante mkuu unamjibu vizuri ila nahisi huyu hajielewi yaani kakomaa peke yake kati yawatoa mawazo hum sijui hajiongezi?
baba yako mzazi ndio hajielewi, endelea kulialia na msaadaHujielewi wewe achana nahuu uzi haukufai.