Je, huyu ni rafiki mwema kwangu?

Je, huyu ni rafiki mwema kwangu?

Haya mambo anayoeleza mtoa mada kama hayajakufika huwezi elewa. Kuna jambo lilinikuta sasa hivi nime-review urafiki wangu na watu niliowaona wa karibu.
Msimamo wangu kwa sasa ni huu, unachofanya kwangu ndio hicho hicho nitafanya kwako.
Kabisa mkuu
 
Hawa marafiki tunaishi nao tu ila sio wa kuwaamini kabisaa mkuu.
Mimi kuna jamaa wakati niko chuo tulikua tunashare chumba, mara nyingi kama sio zote kabisa mimi ndo nilikua nalipa kodi coz nilikua nna mkopo. Nikaona sio kesi kwasababu jamaa hana.

Nikaja kuamini binadamu si wa kuwaamini nilipojua kua jamaa kamlipia demu wake 400k ya ada. Yani kajimake kinoma mpaka kamlipia demu na dem mwenyew kwao wadosi kinoma na iyo ile ya ada alipewa akala.

Aisee nlimuona jamaa boya kabisa. Anaona tunavosishi kitabe geto afu anampa mtu 400 kindezi tu.
Na akaja kujua kua ni mambo ya Lisa tu hakuna ada wala nn😂😂
 
Back
Top Bottom