Je, huyu Rais wetu wa sasa ni Vasco Da Gama mwingine? Ziara za nje zimekuwa nyingi sana kama enzi za Awamu ya Nne

Je, huyu Rais wetu wa sasa ni Vasco Da Gama mwingine? Ziara za nje zimekuwa nyingi sana kama enzi za Awamu ya Nne

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Awamu ya nne tulishudia Jakaya Kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama.

Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi alikuwa Ulaya. Leo yupo Uarabuni.

Hii ishu ya Uarabuni asingeweza kuwakilishwa hata na balozi!

20220226_172448.jpg

20220226_113856.jpg

image_search_1645864624147.jpg
 
Wafute kwanza hiyo kasi yao ya ugaidi wa michongo ili wawekezaji waje kuwekeza wakiwa na amani ya moyo,na uhakika wa usalama wa uwekezaji wao.
 
Amna jema kabisa wabongo,
Watanzania p*** zenu inabidi muongozwe na mtu kama alivyokua jiwe ukiongea u** kama huu wako wanakuokota coco beach kwenye kiloba...

Nimemmis jiwe sana na show zake.
Akitokea tena kama jiwe anatulizwa tena
 
Yaani akili za kimasikini kabisa, ndiyo maana waarabu wanaona waislamu wa africa ni wajinga. Hivi kuna nchi iliwahi endelea kwa mikopo toka mataifa yaliyoendelea????
Kukukopesha ni kukufanya uzidi kuwa masikini.Ndugai yupo sahihi kukopakopa tutauzwa.
 
Mama anatakiwa atengeneze long term plan na leadership ambayo haitategemea aina ya rais. Yaani aangalie ni namna gani rasilimali tulizonazo zinaweza ku finance maendeleo yetu.

Yeye badala yake anaendq kukopa mikopo ya ujenzi wa madarasa???? Yaani unaenda kukopa hela za kuwekea rehani resources zetu???

Nadhani ile timu ya wachumi angeitumiq ila kwa sasa anapuyanga tu Mama.

Mungu atusaidie maana huko mbeleni watoto wetu watatushangaa sana maana watakuta kila rasilimali ya nchi tumekikopea
 
Back
Top Bottom