Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kwani mpaka rais asafiri ndio upate mkopo?Asiposafiri atapataje mikopo yenye masharti nafuu?
Afunguae? Ilikuwa imefungwa?Tulia wewe mama afungue nchi
kamuulize yeye, siwezi mjibia.Kwani mpaka rais asafiri ndio upate mkopo?
Kukopa ni akili ya kimasikini sana.Asiposafiri atapataje mikopo yenye masharti nafuu?
Masharti nafuu hayo ni yapi ndugu?Asiposafiri atapataje mikopo yenye masharti nafuu?
Kusafiri ni kuchezea kodi zetu,si lazima usafiri Ili kuvutia wawekezajiWasiosafiri washafanya kitu gani cha maana hapo ufipa?
Akitokea tena kama jiwe anatulizwa tenaAmna jema kabisa wabongo,
Watanzania p*** zenu inabidi muongozwe na mtu kama alivyokua jiwe ukiongea u** kama huu wako wanakuokota coco beach kwenye kiloba...
Nimemmis jiwe sana na show zake.
Ccm ni hao haoAfunguae? Ilikuwa imefungwa?
Kwenye miti hakuna wajenzi.Kukopa ni akili ya kimasikini sana.
Unakopaje sasa wakati raslimali tele.
Yaani akili za kimasikini kabisa, ndiyo maana waarabu wanaona waislamu wa africa ni wajinga.Asiposafiri atapataje mikopo yenye masharti nafuu?
Hayo masharti nafuu umewahi kuyaona?Asiposafiri atapataje mikopo yenye masharti nafuu?
Mkopo ni Mkopo tu.Mkopo ni tools za kuifanya Afrika izidi kuwa masikini.Tangu UHURU tunakopaAsiposafiri atapataje mikopo yenye masharti nafuu?
Kukukopesha ni kukufanya uzidi kuwa masikini.Ndugai yupo sahihi kukopakopa tutauzwa.Yaani akili za kimasikini kabisa, ndiyo maana waarabu wanaona waislamu wa africa ni wajinga. Hivi kuna nchi iliwahi endelea kwa mikopo toka mataifa yaliyoendelea????