Je, IGP Sirro amepandishwa cheo? Naona nyota moja imeongezeka begani

Cheo alichonacho ni cheo cha mwisho katika jeshi la polisi,kwa hiyo hawezi kupandishwa cheo zaidi ya hapo,isipokuwa anaweza akabadilishiwa majukumu ya kiutendaji kama mteule wa Rais.
Majukumu bado anafanya ya U-IGP. Swali langu ni ongezeko la nyota Moja mabegani.
 
Hicho cheo hakipo katika jeshi la polisi, ila huo mkasi, bibi na bwana na nembo ya taifa (ngao) ogopa sana maana ndio cheo cha mwisho kwa ngazi ya jeshi la polisi.

Huo mkasi usingekuwepo tungejua kashushwa hadi kuwa kamishina msaidizi wa jeshi la polisi
 
Mkasi, bibi na bwana.. pote ni mtu mzito hata jeshini.. star jenela wa polisi wa kwanza huenda wanataka kuwe na IGP one na IGP plain
 
Kuna rank ya kiafisa watakuwa wameongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…