Je, IGP Sirro amepandishwa cheo? Naona nyota moja imeongezeka begani

Je, IGP Sirro amepandishwa cheo? Naona nyota moja imeongezeka begani

Japhet92

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2015
Posts
209
Reaction score
312
Leo nimeona ongezeko la nyota Moja mabegani kwa IGP Sirro. Je amepandishwa cheo au kumefanyika mabadiliko ya ndani ya cheo anachopaswa kuvaa IGP?

Screenshot_20220407-064153_1649302948729.jpg


images.jpeg
 
Cheo alichonacho ni cheo cha mwisho katika jeshi la polisi,kwa hiyo hawezi kupandishwa cheo zaidi ya hapo,isipokuwa anaweza akabadilishiwa majukumu ya kiutendaji kama mteule wa Rais.
Majukumu bado anafanya ya U-IGP. Swali langu ni ongezeko la nyota Moja mabegani.
 
Hicho cheo hakipo katika jeshi la polisi, ila huo mkasi, bibi na bwana na nembo ya taifa (ngao) ogopa sana maana ndio cheo cha mwisho kwa ngazi ya jeshi la polisi.

Huo mkasi usingekuwepo tungejua kashushwa hadi kuwa kamishina msaidizi wa jeshi la polisi
 
Hicho cheo hakipo katika jeshi la polisi, ila huo mkasi, bibi na bwana na nembo ya taifa ogopa sana hicho cheo maana ndio cheo cha mwisho kwa ngazi ya jeshi la polisi.

Huo mkasi usingekuwepo tungejua kashushwa hadi kuwa kamishina msaidizi wa jeshi la polisi
Mkasi, bibi na bwana.. pote ni mtu mzito hata jeshini.. star jenela wa polisi wa kwanza huenda wanataka kuwe na IGP one na IGP plain
 
Back
Top Bottom