Je, ikitokea Hayati Magufuli kafufuka nini kitatokea?

Ikitokea kafufuka maza lazima aliwe kichwa kwanza. Bahati mbaya wafu hawarudi
 
Kwa ushahidi kwenye thread hii, ni wengi pande zote. Hata hivyo, kwenye mikutano, walio wengi wana uelewa mdogo kwa hiyo kazi kubwabb ya mikutano ni kutoa elimu.
Kwamba IMANI ilojengeka Kwa wananchi juu ya Magu kusisitiza watu;
1. Wafanye KAZI Kwa bidii.

2. Kukataa RUSHWA.

3. Kukemea wahujumu raslimali za Nchi.

4. Kusimama raslimali za Nchi kama wanyama hai wasitoroshwe au kuuzwa kifisadi.

Unaamini hayo waliyoaminishwa na Magu ni sababu ya Elimu ndogo?

Unamaanisha saiz waambiwe;

1. Ikipata gap piga pesa maana nafasi haitojirudia tena.

2. Kwamba wananchi waelimishwe kuwa ni sahihi kuuza twiga Kwa waarabu.

3. Au waambiwe waache kuchangia ujenzi wa madarasa, waruhusu viongozi wakakope Ili vizazi vijavyo ndo vije kulipa?

Unadhani wananchi hawana AKILI kiasi hicho?

Kumbuka, AKILI mtu huzaliwa nayo, bt ELIMU huipata darasani.
 
Wote tunaenda chini alikotoka yeye hivyo atabaki peke yake huku juu ya ardhi atajihisi upweke atarudi chini kutufuata tukiona amerudi chini sisi tutarudi juu na kumuacha huko kwenye makazi yake ya siku zote tukimpiga mikwara aside tena juu
 
Mimi sijasikia kwamba Rushwa inaruhusiwa. Pia Wananchi hao kuwaambia habari za mikopo si sawa, kwasababu hawawezi kuelewa tofauti kati ya uhimilivu wa 40% ya GDP na 70% ya GDP ni nini! Hao watakaolipa baadae watakuwa na uwezo kwasababu Uchumi utakuwa mkubwa zaidi kutokana uwekezaji wa Sasa. Ndio maana tunasema Elimu. Mikutano ya hadhara ambayo itapamba moto hivi karibuni, vyama vyote vina kazi ya kuielimisha jamii, sio kuwa populist tu!
 
Mwambie mikutano ya vyama vya siasa sasa ruksa, watumishi wamepandishiwa mishahara na madaraja haki waliyokosa kwa kipindi chake chote, mwambie Mama ameupiga mwingi 🤸🤸
 
Kwan ata alipokuwa hai uraisi si aliukuta tuu.?! Kwanza ndio uliomletea shida, mm nafikir ataenda zake Chato akakae kwa kutulia.. Awaachie wenye nchi waendelee kumenya. Chawa kama chawa..
 
Duh hizi comments ni shida!
Watu wana hasira
Sio kwa misumari hii!!!
Yaan ni mwendo wa chuma juu ya chuma
 
ACHA BANGE
 

Sabaya makonda na msiba pole pole na baa shiru watakufa wao kwa furaha
 
Ina maana yeye ndo kaiumba Tanzania au? Mbona hujasema ikitokea Nyerere kafufuka au hayati Mkapa?

Tanzania aliikuta ina kila kitu, na hata kama angekuwepo sio kwamba angetawala milele apana, mda wake ungeisha na angepisha wengine tu.
zile zilikuwa mbinu za kutaka kutukuzwa tu.
 

Jpm mwenyewe aliendekeza uchawa! Ndio maana alijaza chawa wake bungeni ili wamtukuze na kumsifu.
 
Kwani yeye ni nani? Ndo final wa hili taifa? Hapana. Utafikiri anaimiliki Tz. Chake kilishaisha.
 
Hilo haliwezekani kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…