Je, ikitokea Hayati Magufuli kafufuka nini kitatokea?

Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.

Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??

Hawezi kufufuka ameshaoza tayar kaburini! Hebu waza vitu vyenye akili mxiyuuu
 
Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.

Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Tutamuwekea wimbo wa Skeletun💀 wa Tekno acheze,..😄.au siyo ghost👻 yake?
 
Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.

Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Atapiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa na kufunga tena mitandao yote kama 2020 wakati wa uchaguzi
 
Hakitatokea kitu, kwa kuwa hawezi kufufuka, Ni kutafuta Nyundo kubwa na kupiga kichwani pale kwenye upara ngwaaaa!!!!

Halafu atakuta tuna Rais SSH, ili uwe Ras lazima uwe Raia wa Tanzania, yeye ameshakuwa raia wa kuzimu, labda aingie Tizeee kwa passport
😂😂😂 Kwikwikwii
 
Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.

Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Swala la kufufuka naona tuongee na huyo yesu wa kenya.
 
Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.

Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??

Watu hasa wanafiki waliokuwa wanajifanya kumpebda sana na sasa wapo kinyume kabisa kwa matendo yao watakimbilia chooni!
 
Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.

Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??

Yule jamaa alikuwa na maono...hatashangazwa na chochote...atacheka tu kile kicheko chake na ataendelea na maisha huku akiwaonea huruma watanzania.....

Infact angeshangazwa km mambo yangeenda km alivyotamani yaende...
 
Back
Top Bottom