Je, ikitokea Hayati Magufuli kafufuka nini kitatokea?

Hakitatokea kitu, kwa kuwa hawezi kufufuka, Ni kutafuta Nyundo kubwa na kupiga kichwani pale kwenye upara ngwaaaa!!!!

Halafu atakuta tuna Rais SSH, ili uwe Ras lazima uwe Raia wa Tanzania, yeye ameshakuwa raia wa kuzimu, labda aingie Tizeee kwa passport
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
kweli akifufuka lazima ashangae

1 kaacha watu niwoga kuisema serikali sasa serikali kila kona inasemwa nahakuna anae kamatwa

2 kaacha kikundi cha watu wasio eleweka watekaji wauaji sasa hakipo

3 alisema bila mimi miladi nilio anzisha hakuna wa kuimalizia sasa reli hiyo mpaka kigoma mwanza

3 daraja la busisi hilo shule hizo kila kijiji

4 bwawa na nyerere hilo mama kaisha lijaza maji

5 alikuwa anakopa kwa siri sasa mama anakopa wazi sio siri tena

6 aliacha wapinzani wako adui wa serikali saa serikali inakaa nao na wamerusiwa kufanya mikutano ya hadhara aliokuwa kaipiga marufuku

kweli ikitokea akafufuka lazima ashangae tu

mama samia hataki ujinga

nadanganya ndugu zangu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hivi Wajemeni ule uwanja wa Chato unaendeleaje au umekuwa zulia la kuanikia dagaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pamoja na hayo lkn ungeshirikisha ubongo wako kidogo. Labda Wale Chawa wa Kitaifa wangebadili mitizamo yao. Au nawe ni miongoni mwao?
Hahaaaaaaaaaaaa! Nakuapia wale chawa wangesema hawamjui mama kabisa wnamjua yeye magu tu! chezea chawa weye 🤣 🤣
 
Tafuta hela siasa itakupotezea muda hata kama ungekuwa wewe ungelamba tu asali kila mbuzi anakula kutokana na urefu wa kamba yake
 
Mzilankende Akifufuka Anasema Tu Hii Bhaghosha, Pumb*v* Sana
Mchwa , Utitiri, Viroboto, Ndorobo, Chawa, Papasi, Kupe, Nzi, Wanashambulia Serikali Na Ccm Yenyewe Kama Vile Wafu
 
Nimecheka kifala. Hata akifufuka hawezi kuwa raisi tena. atabaki raia mtiifu, cha muhimu atusimulie kama alifanikiwa kuwa kiongozi wa malaika kama alivyojitanabaisha
Wewe Jamaa Mzilankende Ataomba Kumalizia Kipindi Chake
 
Atashangaa mengi: 1. Kuskia Lissu anarudi nchini. 2. Angeshangaa Sabaya anavyoteseka na kesi, kwa kuwa sabaya alisema alikuwa anatii mamlaka iliyomteua (magu ataunganishwa ktk kesi maana hatakuwa raisi tena maana raisi wetu mwema ni SSH). 3. Atashangaa!, kumbe angeweza kuwa raisi bila ya genge la WASIOJULIKANA. 4. Asingefurahi kuskia kuwa kuna maridhiano ya vyama vya siasa na katiba inakuja na mikutano imeruhusiwa. 5. Angeuliza "hivi mkuu wa mkoa wa chato ni nani"? Wangemjibu kuwa chato haikuwa na sifa ya kuwa mkoa. Angekunja sura na kutaka kufoka na wangemwambia "usifoke tulia maana wewe siyo raisi. 6. NB: Biblia inasema Baada ya Bwana Yesu kumfufua Lazaro, baada ya siku chache wayahudi walitaka kumwua tena Lazaro.
 
Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.

Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Huu uzi upelekwe kule kwa kina Mshana Jr na Pasco. Ndo kuna mambo hayo ya wafu
 
Watamuua tena maana wataumbuka sana aisee vitu vyote alivovipinga akiwa hai wao ndo wanavifanya kwaiyo waziba soo kwa kumuua.. Maana wataumbuka
 
Atashangaa mengi: 1. Kuskia Lissu anarudi nchini. 2. Angeshangaa Sabaya anavyoteseka na kesi, kwa kuwa sabaya alisema alikuwa anatii mamlaka iliyomteua (magu ataunganishwa ktk kesi maana hatakuwa raisi tena maana raisi wetu mwema ni SSH). 3. Atashangaa!, kumbe angeweza kuwa raisi bila ya genge la WASIOJULIKANA. 4. Asingefurahi kuskia kuwa kuna maridhiano ya vyama vya siasa na katiba inakuja na mikutano imeruhusiwa. 5. Angeuliza "hivi mkuu wa mkoa wa chato ni nani"? Wangemjibu kuwa chato haikuwa na sifa ya kuwa mkoa. Angekunja sura na kutaka kufoka na wangemwambia "usifoke tulia maana wewe siyo raisi. 6. NB: Biblia inasema Baada ya Bwana Yesu kumfufua Lazaro, baada ya siku chache wayahudi walitaka kumwua tena Lazaro.
Atatamka kwa usahihi neno, Entrepreneurship atarudi UDSM kusomea PhD halali...
 
Atapokelewa na huyu
20230115_220919.jpg
 
Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.

Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Halafu itokee mimi ndiyo mtu wa kwanza kukutana naye, nampasua halafu namwagia petroli na kumchoma moto.

Yule Magu hatakiwi hata kwenye familia yake!! Sasa hivi wanananwirinau haujamuona Bi Janet
 
Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.

Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Tutamrudisha alikotoka
 
Back
Top Bottom