Kwamba IMANI ilojengeka Kwa wananchi juu ya Magu kusisitiza watu;
1. Wafanye KAZI Kwa bidii.
2. Kukataa RUSHWA.
3. Kukemea wahujumu raslimali za Nchi.
4. Kusimama raslimali za Nchi kama wanyama hai wasitoroshwe au kuuzwa kifisadi.
Unaamini hayo waliyoaminishwa na Magu ni sababu ya Elimu ndogo?
Unamaanisha saiz waambiwe;
1. Ikipata gap piga pesa maana nafasi haitojirudia tena.
2. Kwamba wananchi waelimishwe kuwa ni sahihi kuuza twiga Kwa waarabu.
3. Au waambiwe waache kuchangia ujenzi wa madarasa, waruhusu viongozi wakakope Ili vizazi vijavyo ndo vije kulipa?
Unadhani wananchi hawana AKILI kiasi hicho?
Kumbuka, AKILI mtu huzaliwa nayo, bt ELIMU huipata darasani.