Magu hawezi kuwa turufu kokote hata kwenye kampeni au mikutano itakayofanyika Chato labda wanasiasa wawe hawana akili, kuna mchanganyiko wa watu aliofanikiwa kuwa-brainwash na wale wenye akili waliochukia mabaya aliyowafanyia watu kama kuua,kuteka,kujeruhi na kutesa.Naheshimu mawazo Yako,
Umefanya utafiti Kwa unayoyasema?
Heche na Mnyika wamefanya mikutano na kuongea na wananchi,
Hawathubutu kumkejeli Magu mbele ya umma, amefanya mengi MAZURI Kwa Nchi.
Magu ndo TURUFU ya Chaguzi zijazo, amini usiamini.
Mkuu hukumjua Magufuli vizuri..Naheshimu mawazo Yako,
Umefanya utafiti Kwa unayoyasema?
Heche na Mnyika wamefanya mikutano na kuongea na wananchi,
Hawathubutu kumkejeli Magu mbele ya umma, amefanya mengi MAZURI Kwa Nchi.
Magu ndo TURUFU ya Chaguzi zijazo, amini usiamini.
Mabaya yake nayatumia kama alert kuwafundisha Walio hai wasipite njia hiyo,Mkuu hukumjua Magufuli vizuri..
Worst ever president we had at moment...
Nakupa very clear picture kwa alichokifanya kwa kuuwa sekta binafsi tena makusudi... Ila wafusi wake hawaelewi kabisa..
Ukiona Rais anachukia private sector eti wametoa wapi mitaji na kuwakandamiza... Tambua ajira zinaenda kufa..
Serikalini hakuna mkamilifu... Magufuli alikuwa Waziri wa Ujenzi na tender za Ujenzi au kandarasi alizijua... Na kuna 10% katika malipo mbalimbali katika miradi...
Magufuli amekula % lakini alikuwa na chuki binafsi kwa makumpuni flani flani ili kampuni nyingine ya sirini mwake inufaike (Mayanga)
Alipopata madaraka aliishughulikia Elerai Northern Engineering ya Arusha makusudi... Na kuchukua zaidi ya nusu ya capital ya kampuni.. Na kupeleka hiyo hela... Nusu Serikalini na iliyobaki kuinua Mayanga construction..
Sasa je ulishawahi kuona mtu unakuwa Rais kisha unaua kampuni kwa manufaa yako binafsi.? Yaani unaua mitaji ya watu na ajira kwa neno uzalendo.?
Na ndio maana alifariki ghafla
Hili la Machawa naliona kwamba lina hatari ya kukua na kuwa tatizo baadae. Linanikumbusha green brigade na red brigade! Chawa wa viongozi mbalimbali au wa vyama mbalimbali wanaweza wakakua mpaka wakaota mapembe. Wakianza kupigana huko mitaani kwa ajili wa Ma Boss wao, itakuwa shida. Tunajenga Makundi yanayopingana na kusigana kwenye jamii. Nadhani idea ya Machawa tuiache mapema.Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Infact aliichelewesha LNG. Tungekuwa tuna export tayari. Na hivi soko limekuwa zaidi kwasababu ya Vita!...Ile LNG imeshawasili kwenye ile address, uwezekano wa kufufuka tena haupo
Inaonyesha alivyo ligawa Taifa. Wanao muunga mkono na wanao mpinga wote ni wengi!Kwa jinsi zinavyoibuka mada mfululizo kumhusu jiwe, ni dhahiri jamaa HAJAFA 😃😃😃😃
Pia inaweza kuwa ni kipimo Cha Utendaji KAZI uliotukuka Kwa wananchi aliowatumikia.Inaonyesha alivyo ligawa Taifa. Wanao muunganmkono na wanaompinga wote ninwengi!
Wengi wanamtaja kwa Mema, na wengi wanamtaja kwa mabaya. It's mixed! It's divisive!Pia inaweza kuwa ni kipimo Cha Utendaji KAZI uliotukuka Kwa wananchi aliowatumikia.
Maana kwann hawaachi kumtaja Kwa mixed feelings?
Kitu cha kwanza ni kumkamata na kumsweka ndani na atakuwa na kesi za kujibu angalu laki 6.Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Kwa utafiti wangu,Wengi wanamtaja kwa Mema, na wengi wanamtaja kwa mabaya. It's mixed! It's divisive!
Kwa ushahidi kwenye thread hii, ni wengi pande zote. Hata hivyo, kwenye mikutano, walio wengi wana uelewa mdogo kwa hiyo kazi kubwabb ya mikutano ni kutoa elimu.Kwa utafiti wangu,
Wanaomtaja Magu Kwa mabaya ni kundi dogo sana,
Nimebahatika kuifuatilia mikutano ya hivi karibuni ya CDM under Mnyika na Heche, pia mikutano ya CCM ground,
Magu Bado ni TURUFU ya Chaguzi zijazo nchini ktk majukwaa ya kisiasa.
Uthubutu, Uzalendo , Uchapakazi wa Magu hajaenda nao Kaburini,Huu uzi upelekwe kule kwa kina Mshana Jr na Pasco. Ndo kuna mambo hayo ya wafu
Asante kwa ufafanuzi murua.Hili la Machawa naliona kwamba lina hatari ya kukua na kuwa tatizo baadae. Linanikumbusha green brigade na red brigade! Chawa wa viongozi mbalimbali au wa vyama mbalimbali wanaweza wakakua mpaka wakaota mapembe. Wakianza kupigana huko mitaani kwa ajili wa Ma Boss wao, itakuwa shida. Tunajenga Makundi yanayopingana na kusigana kwenye jamii. Nadhani idea ya Machawa tuiache mapema.
Kuhusu kufufuka, halipo Hilo. Ila unaweza kusema hajatokea Kiongozi akatugawa Nchi hii kama Mwendazake. Mpaka Leo tumegawanyika. Hakuna legacy ambayo iko contested kama yake tangu tupate Uhuru. Legacy kubwa zaidi ni ya Baba Wa Taifa. Lakini haijaigawa Nchi hata kwa asilimia 5 ya mgawanyo uliosababishwa na awamu iliyopita. Wala hatutapata majibu kama Hawa waliopo wamepatia au la mpaka awamu hii iishe. Lakini kwa vyovyote vile, tunaonekana kuwa kwenye njia Bora na salama zaidi kuliko mwanzo.
chato hakuna dagaa kuna udaga ndio unao anikwa hapo uwaja wandegeHivi Wajemeni ule uwanja wa Chato unaendeleaje au umekuwa zulia la kuanikia dagaa[emoji23][emoji23][emoji23]