Je, ikitokea Hayati Magufuli kafufuka nini kitatokea?

Je, ikitokea Hayati Magufuli kafufuka nini kitatokea?

Halaiser

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
4,230
Reaction score
6,653
Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.

Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.

Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje?
Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje?
 
Hakitatokea kitu, kwa kuwa hawezi kufufuka, Ni kutafuta Nyundo kubwa na kupiga kichwani pale kwenye upara ngwaaaa!!!!

Halafu atakuta tuna Rais SSH, ili uwe Ras lazima uwe Raia wa Tanzania, yeye ameshakuwa raia wa kuzimu, labda aingie Tizeee kwa passport
 
Umefikiria mbali sana Mkuu. Na kwa sheria ya nchi yetu haina Uraia Pacha siyo.
 
Back
Top Bottom