To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Nimewahi tokewa na mauza uza nikiwa Zambia...bas hakuna kinachonitisha mkuu😂😂
Haumuogopi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewahi tokewa na mauza uza nikiwa Zambia...bas hakuna kinachonitisha mkuu😂😂
Haumuogopi?
Pamoja na hayo lkn ungeshirikisha ubongo wako kidogo. Labda Wale Chawa wa Kitaifa wangebadili mitizamo yao. Au nawe ni miongoni mwao?
Nimewahi tokewa na mauza uza nikiwa Zambia...bas hakuna kinachonitisha mkuu
Kwani atafufuka akiwa Rais?Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa nadani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Tutawapa bongomuvi wamtumie katika muvi zinazohitaji mizimu😂😂
Haumuogopi?
Amani ipi? Mateso ya milele anayatumikia, damu za watu zimejaa mikononi mwake, anatumikia ujira wake huko alipoAendelee kupumzika salama mwamba
Kazi alifanya na kazi alimaliza
Kwanza kabisa nadhani anaanza na huyo mama yenu, pili ana mwambia majaliwa umekubali kuwa sehem ya hawa wahuni kama makam mwenye kiti, tatu anamwambia nchemba nenda singida, nne kamba ,anatenguliwa , tano, mama yenu atapelekwa ubalozini Madagascar Madagascar hahahahahah hahahahahahNimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa nadani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Hawezi kufanya kitu. Tanzania ilikuwepo toka 1964 na mambo yake without his influence, yeye amekuwa Rais just in 6yrs time.Ashuhudie tu yanayoendelea kwa sasa. Mfano kuzuia ngozi ghafi kusafirishwa nje, hivi sasa ni wanyama hai kabisa.