Je, ikitokea Hayati Magufuli kafufuka nini kitatokea?

Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa nadani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.

Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Kwani atafufuka akiwa Rais?
 
Kwanza kabisa nadhani anaanza na huyo mama yenu, pili ana mwambia majaliwa umekubali kuwa sehem ya hawa wahuni kama makam mwenye kiti, tatu anamwambia nchemba nenda singida, nne kamba ,anatenguliwa , tano, mama yenu atapelekwa ubalozini Madagascar Madagascar hahahahahah hahahahahah
 
Back
Top Bottom