Ila inabidi ili suala waliangalie upya, yaani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu, yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya Watanzania ingekatika kirahisi.Yah iko hivyo mkuu kwa rais muislamu mkusanyiko unaweza kuwa sehemu moja tu au mbili kama ni kuaga but atakuwa ndani ya jeneza hakuna atakayemuona au familia inaweza kukataa hata hivyo ila wananchi wakatoa heshima ya kumzka tu hasa kumsindikiza njiani na kama akiwa ni rais mwislamu hasa anaweza kufa asubuhi saa 10 tukazika hatunaga mbwe mbwe waislamu refer kifo cha maalim seif
Takwa la Mungu ni bora kuliko Kiu ya kiumbe chochote achana na baadhi ya wanafiki.Ila inabidi ili suala waliangalie upya,yani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida ? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu ,yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya watanzania ingekatika kirahisi.
Uongo refer kifo cha Maalim Seif Makamu wa Raisi wa ZanzibarTunazika fasta tu, kwa mujibu wa imani yake
Unaweza nipa sababu ya why mnazika mapema? Sababu yenye mantiki na sio sababu ya utamaduni kama kufuga ndevu, au kuvaa suruali fupi au kuvaa kanzu.Yah iko hivyo mkuu kwa rais muislamu mkusanyiko unaweza kuwa sehemu moja tu au mbili kama ni kuaga but atakuwa ndani ya jeneza hakuna atakayemuona au familia inaweza kukataa hata hivyo ila wananchi wakatoa heshima ya kumzka tu hasa kumsindikiza njiani na kama akiwa ni rais mwislamu hasa anaweza kufa asubuhi saa 10 tukazika hatunaga mbwe mbwe waislamu refer kifo cha maalim seif
Ngoja akifa utajua. Sijui hapa dini inaingiaje kama siyo watu kuwaza yasiyowazika na kuleta mambo nje ya wakati wake.Ninahitaji kufahamu kama ikiwa tumepata msiba wa rais ambaye ni muislamu,je atapata heshima ya kuagwa kama anayoipata rais ambaye si muislamu ?
Au taratibu za kidini zitafuata mkondo wake ,mf rais afariki asubuhi mchana wa saa saba azikwe na habari yake iishie hapo?
Imani yake itafuatwa ambayo ni muhimu zaidi kuliko mapenzi yenu kwake.Ila inabidi ili suala waliangalie upya,yani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida ? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu ,yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya watanzania ingekatika kirahisi.
huyo mungu wako ni yupi??Takwa la Mungu ni bora kuliko Kiu ya kiumbe chochote achana na baadhi ya wanafiki.
Hakuna bora ktk kumridhisha kiumbe na kumuasi muumba.
kwa mujibu wa dini yetu ya kiislam tumeamrishwa kufanya haraka mambo makuu matatu kwa mwanadamu pindi yatokeapoUnaweza nipa sababu ya y mnazika mapema?sabab yenye mantiki na sio sababu ya utamaduni kama kufuga ndevu. Au kuvaa surual fupi..au kuvaa kanzu
Nipe kitu chenye mashiko like..y soo necessary
Maalim alimaliza wikiUongo refer kifo cha Maalim Seif Makamu wa Raisi wa Zanzibar
Upo sahihi dada.kwa mujibu wa dini yetu ya kiislam tumeamrishwa kufanya haraka mambo makuu matatu kwa mwanadamu pindi yatokeapo
kwanza, mtu mwenye kutaka kuslimu akitokea lazima iwe haraka asilimishwe
pili, mwenye kutaka kuoa, ikitokea mtu amefata taratibu zote za kuanzia barua ya posa mpaka mahari bas ndoa yatakiwa ifanyike kwa haraka haina kusubiri
tatu, mtu akifariki hatumueki dini imeamrisha mtu azikwe haraka na wala asinadishwe kama marehem raisi anavofanywa, kuna aibu ndogo ndogo za maiti lazima zisitiriwe na bahati nzuri wanaobahatika kukuona ni baadhi ya ndugu zake sio wote
kwa hiyi tunafata vile tumeamrishwa na Allah S.W
mwengine anaruhusiwa kunisahihisha
Nadhani alikaa Siku mbili tu wakazikaUongo refer kifo cha Maalim Seif Makamu wa Raisi wa Zanzibar