Je, ikitokea Serikali ikakosa fedha za uchaguzi mkuu, Serikali iliyopo madarakani itaendelea kuongoza?

Je, ikitokea Serikali ikakosa fedha za uchaguzi mkuu, Serikali iliyopo madarakani itaendelea kuongoza?

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,485
Kwa wataalamu wa sheria na katiba ,naomba tu kufahamu najua hatuwezi kukosa fedha za uchaguzi hata kidogo lakini je ikitokea tuakakosa kabisa,nini kitatokea?

Je, Serikali iliyopo madarakani itaendelea kuongoza wakati muda wake utakua umekwisha, hadi wakati itakapopata fedha za uchaguzi, au itakuaje?

Nauliza tu kutaka kujifunza.
 
Haiwezekani nchi tajiri kama hii ikose pesa ndogo za uchaguzi.
 
Jumuia ya Ulaya itatoa pesa kwa masharti ya uchaguzi huru na transparent.
 
Tusishangae mswaada wa dharula ukaletwa,ukajadiliwa na kupitishwa Hakuna uchaguzi 2020; Rais ,wabunge na madiwa kuendelea hadi 2025.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
serikali ina pesa nyingi sana. haiwezi kutokea serikali ikakosa pesa za kuendeshea uchaguzi. miezi hii 2 ijayo bunge lita budget pesa za uchaguzi. si unajua maandalizi ya budget yanaanza kuanzia feb .

kaa usubiri,

serikali haiwezi kushindwa.
 
Haitatokea nchi kukaa bila serikali. Wakati taratibu zingine zikiendelea serikali iliyopo madarakani itaendelea
 
Back
Top Bottom