lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Bila kusahau sharti la "USHOGA" na hili BAVICHA wanalipigia chapuo!Jumuia ya Ulaya itatoa pesa kwa masharti ya uchaguzi huru na transparent.
Kama ninaona sura ya Polepole watakaposema uchaguzi huru na transparent.Bila kusahau sharti la "USHOGA" na hili BAVICHA wanalipigia chapuo!