Je, ile 'confidence' ya Kuongea Kiingereza 'fluently' bila kuandikiwa au kusoma akina Nyerere na Mkapa waliitoa wapi nami nikajifunze?


Fluency pekee yake haitakubeba. Unahitaji vitu vitatu, all at once: umahiri wa lugha, umahiri wa public speaking na subject matter expertise. Ukikosa umahiri wa public speaking na subject matter expertise, hata ukiongea kwa kutumia lugha ya mama yako, watu watatoka hawajui hata ulichoongea!
 
Between Mwl Nyerere, Dr Mahiga, Dr Mkapa, Dr Kissinger and Gov Shwarznegger; who will attract our attention on global matters and wahy?


Global matters are not our concerns, ours is who among the dignitaries spoken of was good at English, forget about Sect, kissinger and Gov, Arnold who aint Tanzanians.

Knowing global matters and knowing English are two different issues.
 
Comment tamu....

Comment ya DHAHABU kabisa 👍

Hapa pana cha kukichukua kiutekelezaji!
 
Kama wewe kweli unajua kiingereza kiasi cha kuona kwamba Nyerere hakuwa naongea kiingereza vizuri basi mimi na wewe tuanze kuchat kwa hicho kiingereza ili tuproove kwamba na wewe unamzidi Nyerere.


Tuchat na wewe kwani wewe ndiye uliyerithi kiingereza cha Nyerere ??!--- kama utasema wewe ndiye umerithi ile fimbo yake hapo hakuna shaka lakini sio kile kiingereza chake cha ajabu,

let's go
 
Huyu alikuwa ameandikiwa na akashindwa kusoma. Huyu ni professor na waziri View attachment 1854214
😂😂😂😂😂😂😂
Daah nimecheka kinoma, sawa uwezo wa mtu haupimwi kwa kuongea kingereza lakinii huyu si professor jamani huko kote alikopita lugha si ni kingereza.
Hapana jama hii si sawa mh. Waziri ajifunze kingereza sasa kwa namna hiyo ataongea vipi na wahisani??
Yani kama shishi bebi aisee😂😂
 
You are confusing 2 issues, bravado and impromptu talk. Impromptuness hutumika against hostile journalists, wanakuuliza kunya unawajibu kunya, rapid-fire responses, hiyo inahitaji uje subject matter na ujue kujieleza. In Tanzania we never had that kind if situation hasa kwa Mkapa, kwa hiyo confidence ibatokana na cheo. Bravado ni hivyo, you 4un into a hostile crowd. Mafundi kabisa wa majibu ya kunya papo kwa papo ni Robert Mugabe na Tony Blair, auu hata Rais Trump hivi karibuni.

Hii ya speech ya kuandikiwa ni tafauti: NI LAZIMA KIONGOZI AANDIKIWE. Unachosema wewe ni departure from the written speech ili uongeze uelewa au kutokana ba hali halisi wanaokusikiliza. Hapo ndipo naam, Nyerere na Mkapa walikuwa mafundi. Lakini kulikuwa na Rais Kikwete na Waziri Cleopa Msuya, wao waliandika wenyewe, kwa mkono wake. Kwa hiyo Speechwriter ilibidi ajipe muda wa kutosha ili ikachanwechanwe itoke finals.
 
Huyu unayemsifia alikuachia Mimba au?
 
Augustino Mahiga English was comparatively better than Nyerere's.

Wote hao nimepata kuwasikiliza wakiongea kiingereza.
Hebu nawe pia tuonyeshe basi unakijua.
 
Kwa kukusaidia nenda Youtube na Umsikilize Nyerere na pia umsikilize Mahiga, Hata Mkapa was better in English than Nyerere.

Mahaba yenu kwa nyerere kama baba wa taifa yasiwapofue mkadhani kuwa yeye alikuwa pia ni baba wa English Tz.🤣
Mkapa Mwenyewe hata katika Op-ed zake katika Gazeti la The Citizen miaka ya nyuma alimsifia mno Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kuwa alikuwa ni 'Wordsmiths' hasa. Je, tumuamini 'Genius' Mkapa au 'Moron' Wewe?
 
Ulichokiandika hapa kingekuwa ni cha Kitaaluma na natakiwa Kusahihisha ningekupa 99% ( A ya Dinstiction ) kabisa Mkuu.

Umesema ukweli, usahihi na umemaliza kila Kitu. Heko mno na nimefurahi Udadavuaji na Uchambuzi wako huu wa Kimantiki.
 
Mahiga yupo fluent na grammatic licha ya kuongea a slight accent ya wazungu lakini hiyo ni added merit.

Nyerere hivyo vyote hana.

That's my take.
Unayemsifia hakukuachia Mtoto labda?
 
Zao la Makerere university Uganda
Mwalimu alisomea uwalimu ,Mkapa bachelor of arts English.
Na huwezi Kusoma nchini Uganda iwe ni Primary School au Secondary School au University kisha ukawa Mpumbavu ( Popoma ) na usikijue vyema kabisa Kiingereza halafu pia usiwe 'Genius' katika Jamii.

Katika Elimu Uganda wametuacha mbali sana na Hongera kwa Elimu ya Uganda ambayo si tu naikubali ila naipenda kuliko hata ya Kenya na Tanzania.
 
Kiingereza cha Nyerere kilikuwa poor, Kiingereza kilikuwa na Augustino Mahiga.
Wewe unamaanisha accent, sio kiingereza. Ukiishi usukumani miaka mingi utakuwa na accent ya kisukuma. Mahiga alikaa sana USA na nje kwa ujumla, kwa hiyo huwezi kulinganisha accent yake na ya Nyerere.

Na pia art ya kuongea sio kujua lugha. Mnaweza wote mkajua kuongea kiswahili lakini mkatofautiana katika ushahiri wa kuongea
 
Tangia lini Mzee A Mwinyi alijua English?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…