Je, ile 'confidence' ya Kuongea Kiingereza 'fluently' bila kuandikiwa au kusoma akina Nyerere na Mkapa waliitoa wapi nami nikajifunze?

Ulaya yote English ni business language ninadhani pamoja na kuwa Ujerumani wanauchumi mzuri lakini Uingereza kutawala 3/4 hasa Marekani imesaidia kuifanya lugha yao kuwa na nguvu.

Spain, France, Italy, Portugal ect kusoma English kama lugha ya pili ni lazima kwa watoto wote.
Mkuu 'Sky' huo mstari wa mwisho sikujua kuwa ni hivyo.

Hii ni kweli, ni LAZIMA?
 
How is this any different from the previous rantings you have used to describe your own illusional mind?

"How is this any different ----🤣

Were you taught such a nasty pidgn English by Mwalimu Nyerere??
 
There you go again, why can't you learn!

Or is it because of your deficient state of mind that is causing you all this trouble in rational thinking?
 
This time you pretend to be rational !!🤣 where is your foulmouth???
 
No matter how hard you try, you cannot deflect the condition that afflicts your mind to another person.

You stay with it permanently or seek treatment that will help you.
 
Ni lazima wajue lugha moja au mbili zaidi ya lugha mama
Lakini si hata huko Uingereza nako wanahimiza (siyo lazima), watu wao nao wajue angalao lugha nyingine, mbali ya kiingereza!

Hali ni hiyo hiyo hata kule Marekani kwenyewe, ambako Spanish imeendelea kuwa lugha muhimu hadi inatumiwa mitaani!
 
No matter how hard you try, you cannot deflect the condition that afflicts your mind to another person.

You stay with it permanently or seek treatment that will help you.

Who between me and you need a mental treatment ???

A foulmouthed person like you is the one whose senses are broken down. Foulmouth is a typical sign of mental problem especially when one is overwhelming by strong arguments, the only recourse he/she finds is expletives.
 
Lakini si hata huko Uingereza nako wanahimiza (siyo lazima), watu wao nao wajue angalao lugha nyingine, mbali ya kiingereza!

Hali ni hiyo hiyo hata kule Marekani kwenyewe, ambako Spanish imeendelea kuwa lugha muhimu hadi inatumiwa mitaani!
Ni kwasababu ya muingiliano wa ki biashara. Kuna wakati walikua na uhaba wa walimu wa Kifaransa, Wa Ivory Coast wengi walipata ajira na visa.
 
Who between me and you need a mental treatment ???

A foulmouthed person like you is the one whose senses are broken down. Foulmouth is a typical sign of mental problem especially when one is overwhelming by strong arguments, the only recourse he/she finds is expletives.
Aren't you asking an obvious question?
If you had a stable state of mind you would not be asking such a stupid question whose answer is obvious. That's why you should heed advice, go and seek help before it is too late for you.
 
Whenever you will be the first to consult a mental doctor for your ailments I will be the first to observe how treatment is going on.

Frankly, Insults is a sure sign and symptom of one mental malady. 😜

Go man go it is not too late.
 
You will be in no position "to observe how treatment is going on", because you will be the patient being treated.

Why is this simple fact so hard to drill into your skull?

Clearly it cannot be so bad that you have reached a point where you have lost a sense of reality!
 
That's Starcato foot work of yours😲

انت مجنون
 
There's no such thing as 'starcato footwork', another clear example of a defective mind at work!

Hocus pocus from your deranged mental feebleness,

Figments of your poooor imaginatiooon.

Go man go, for consultation. it is high time, man go!!!.

لعنة الله عليكم يا انت مجنون
 
Typical signs of a deranged mind!
 
Siku utakapo ongezewa damu na mbritishi ukuje tuongee nione kama uongezewe damu au inakutusha.
Natamani sana nami GENTAMYCINE nijue Kuongea Kiingereza kizuri kama cha akina Nyerere na Mkapa na siyo nije nikijue vizuri baada ya Kustaafu Majukumu yangu au niwe nakiongea kwa kutegemea Kuandikiwa kisha kila nikiwa nahutubia niwe 'nazuga' kwa Kukiongea kwa Sekunde Tano, nakunywa Maji na nakohoa ili kuwaonyesha wanaonisikiliza kuwa nakijua kisha narejea tena Kusoma huku nikiwa natetemeka na kila mara.

ANGALIZO
Kujua Kiingereza si lazima kwani Kiswahili, Kizanaki na Kinyarwanda kinatosha na wala kujua Kiingereza si kipimo cha ama Mtu kuwa Msomi (Intellectual) au Mwerevu (Brainiac) katika Jamii ila katka Uga wa Kimataifa na kwa Heshima ya Lugha ya Kiingereza tokea enzi na enzi kutokujua Kiingereza (Kiswahili cha duniani kama alivyowahi kusema Mwalimu Nyerere) wakati hata 'Mitaala' yetu ya Elimu ni ya Kiingereza kunaweza Kutafsiriwa ni Uwendawazimu na Unafiki usiovumilika.
 
Typical signs of a deranged mind!

Undoubtedly, your parents would either teach insults or you would hear them speaking insults during your childhood.

That's the reason why you are keen on foulmouth.🙉 now the world, I being one of them, is reproving you in this way to make you conscious. 👻
 
Back
Top Bottom