Je, ilichukua muda gani kuanza kupata faida katika biashara yako?

Ahsante sana mkuu, Nimekuelewa vzr sana
Ila ni kwa nini dhambi ya kuzinzi ikawa na nguvu sana? Kuliko nyingine...

Kwa sababu tunaona hata Yusufu alikataa zigo la mke wa Kigogo wa serikali ya Misri (Potifa). Mungu akambariki Yusufu mpaka akawa waziri mkuu

Hii dhambi kwenye ulimwengu wa Roho inanguvu gani?

au ni kwa sabbu ya transmition kati ya Ke na Me????
 
Yaan Kuna nyakati unaona chain nzima unaotrade nao wanafanya ushirikina....mahali unapotoa malighafi washirikina na unaowauzia bidhaa washirikina...ni hatari Inabidi uweke mtu wa kusali Sana Kama Huamini ushirikina
 
Vizuri, uzinzi ndio silaha kubwa shetani anaitumia, Yusufu angezini na yule mke wa Potifa asingekuwa waziri mkuu
 
Miaka 2 ~ 3 years mbona ni mingi sana mkuu, kupata faida mtu japo upambane angalau mwaka mmoja
 
Namba 3 inashindikana kwetu wengi
 

Faida inatakiwa uanze kupata soon unapoanza biashara MKUU.
 
Baadae ndio nikaja kutonywa na watu...!

Mkuu ufafanuzi kidogo hapa tafadhali. Kwamba ulikutana na nini hadi ukaamua kutafuta upande (Mungu/ushirikina)?
 
Ahsante sana kwa elimu hii ya vitendo, likes 1000 nakupa ndugu.
 
Oooh
 
Nakuelewa sana...ndani ya hicho kipindi unaweza sema unaenda kufilisika...Kweli bila moyo mgumu unaweza mtafuta mchawi
 
Biashara ya udalali.
Nilianza kama mzaha.
Jamaa yangu aliniambia anauza kitanda 4*6 kwa elfu 70, akaniambia nimtafutie mteja.

Nikaja JF jukwaa la matangazo, nikakuta mwenzangu anauza size hio hio kwa 180K. Same quality beds.

Mi nikaona isiwe shida, watanzania tunapenda cheap bei poa. Nikapost kile kwa 140K huku nikitoa ofa ya usafiri kwa elfu 30.

Nikapata mteja papo hapo nikauza.

Faida elfu 50. Muuzaji nae akanipa elfu 10.

Sikuamini aisee this fast money within three days?

Toka siku ile nikakomaa na udalali.

Nishauza sana pikipiki used. Simu mpaka sasa wateja wa viwanja wananisaka.

Nipo Dar, soko ni kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…