Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana mkuu, Nimekuelewa vzr sanaUkitaka kufanikiwa kwa njia za ki-Mungu ufuate kanuni zifuatazo.
1.uanze kuishi maisha ya kumpendeza Mungu, kwa nje na sirini
2.kosea vyote ila usizini.ukikosea mengine ukaomba toba,Mungu atakusamehe na biashara itaendelea.
Ila ukizini lazima ufirisike kwanza,uaibike na ndio adhabu yako.
Ndio uje uanze mwanzo tena
3.Usiibe hela au kumdhulumu mtu Mali yake au kuiibia serikali then uje uanze biashara ukategemea Mungu ataibariki,NEVER
3.
sana MkuuDah! mkuu IFRS ahsante kwa hii elimu, nimepata kitu kwa kweli
Vizuri, uzinzi ndio silaha kubwa shetani anaitumia, Yusufu angezini na yule mke wa Potifa asingekuwa waziri mkuuAhsante sana mkuu,Nimekuelewa vzr sana
Ila ni kwa nini dhambi ya kuzinzi ikawa na nguvu sana? Kuliko nyingine...
Kwa sababu tunaona hata Yusufu alikataa zigo la mke wa Kigogo wa serikali ya Misri (Potifa). Mungu akambariki Yusufu mpaka akawa waziri mkuu
Hii dhambi kwenye ulimwengu wa Roho inanguvu gani?
au ni kwa sabbu ya transmition kati ya Ke na Me????
Miaka 2 ~ 3 years mbona ni mingi sana mkuu, kupata faida mtu japo upambane angalau mwaka mmoja1. Miaka 2-3 ya mwanzo ni migumu mno. Bila roho ya paka, utaacha biashara,ila ukivumilia utaanza kuiona faida.
2. Lazima uchague kuwa mtu wa Mungu kweli au uwe mshirikina, bila hivyo hutoboi.
3. Lazima uwe na usimamizi Mzuri au ujenge strong team
4. Nidhamu ni muhimu sana
Ukijitahidi kufuata hizo rules utatoboa
Namba 3 inashindikana kwetu wengiUkitaka kufanikiwa kwa njia za ki-Mungu ufuate kanuni zifuatazo.
1.uanze kuishi maisha ya kumpendeza Mungu, kwa nje na sirini
2.kosea vyote ila usizini.ukikosea mengine ukaomba toba,Mungu atakusamehe na biashara itaendelea.
Ila ukizini lazima ufirisike kwanza,uaibike na ndio adhabu yako.
Ndio uje uanze mwanzo tena
3.Usiibe hela au kumdhulumu mtu Mali yake au kuiibia serikali then uje uanze biashara ukategemea Mungu ataibariki,NEVER
3.
Habari wakuu!
Kuendesha biashara inahitaji akili nyingi sana, huu uzi ni maalum kwa watu ambao wamewahi kuanzisha biashara na zikafanikiwa.
Katika biashara kuna mtaji (Fungu la pesa la kueendeshea biashara), matumizi (kodi ya fremu, umeme, ulinzi, usafirishaji n.k) pia kuna faida (Mauzo - mtaji)
Je, ilikuchukua muda gani kuanza kupata faida ktk biashara yako?
Je, ulianzaje anzaje mpaka ukafikia hapo ulipo?
Baadae ndio nikaja kutonywa na watu...!Mimi nilichelewa kufanikiwa kibiashara sababu sikutaka kuwa mshirikina na wala sikutaka kuwa kwa Mungu, niliamini kwenye elimu yangu na mtaji. Baadae ndio nikaja kutonywa na watu.
Nimeanza ku-breakeven 2.5 years, ila miaka 3 ndio nilianza kupata faida
Ahsante sana kwa elimu hii ya vitendo, likes 1000 nakupa ndugu.Mimi sikupenda kuchagua upande wa ushirikina, nikaamua kujiunga na vikundi vya maombezi, huwezi amini niliingia kwa hasira sana,maana nilishapata hasara sana.
Nilifunga mfungo wa masaa 12 kwa siku 30, kuna siku wakati nipo kwenye mfungo,nikaota usiku ninapambana na jitu la miraba mi4, mimi naomba na yeye anaomba kwa ishara kwa kuninyooshea mikono, baadae nikalidondosha chini, nikashtuka ndotoni. After one week ,biashara zikaanza kunyooka. Hii dunia ni zaidi ujuavyo.
Ila ukitaka kufuata kanuni hii, uwe na uhakika hutafanya madhambi Mungu anayochukia, ukifanya tu unafirisika to zero. Trust me haswa uzinzi.
Walokole wengi ni maskini sababu kubwa wanataka kufanikiwa kibiashara kupitia Mungu lakini wanafanya dhambi nyingi sirini.
OoohUkitaka kufanikiwa kwa njia za ki-Mungu ufuate kanuni zifuatazo.
1.uanze kuishi maisha ya kumpendeza Mungu, kwa nje na sirini
2.kosea vyote ila usizini.ukikosea mengine ukaomba toba,Mungu atakusamehe na biashara itaendelea.
Ila ukizini lazima ufirisike kwanza,uaibike na ndio adhabu yako.
Ndio uje uanze mwanzo tena
3.Usiibe hela au kumdhulumu mtu Mali yake au kuiibia serikali then uje uanze biashara ukategemea Mungu ataibariki,NEVER
3.
1. Miaka 2-3 ya mwanzo ni migumu mno. Bila roho ya paka, utaacha biashara,ila ukivumilia utaanza kuiona faida.
2. Lazima uchague kuwa mtu wa Mungu kweli au uwe mshirikina, bila hivyo hutoboi.
3. Lazima uwe na usimamizi Mzuri au ujenge strong team
4. Nidhamu ni muhimu sana
Ukijitahidi kufuata hizo rules utatoboa