Je,ilikuwa mpango wa Mungu Afrika kutawaliwa ili tupate Injili au kujua dini?

Je,ilikuwa mpango wa Mungu Afrika kutawaliwa ili tupate Injili au kujua dini?

Miungu yenu inawasaidiaje kwa sasa?
Yaani hizo slavesh religion ndo tuzifuate? Acheni ujinga nyie watu Africa tuna miungu yetu tuliyoitelekeza ndo maana kama tumelaniwa vile,dini za mashariki ya kati ni mizigo mizito tuliyojitwisha waafrika bila sababu za msingi,hivi tangu wazilete hizo dini huyo mungu wa wayahudi ashawahi kutusaidia zaidi ya kuongeza majanga tu?
 
Dini zimetumika kudumaza akili za mwaafrika. Mungu wa kiaafrika hakua na mpango huo.

Dini ni janga la Africa.
Africa ni sehemu tu katika dunia na zimepita jamii tofauti,sasa nashindwa kuelewa huyo Mungu wa afrika ana sifa zipi?
 
Yaani hizo slavesh religion ndo tuzifuate? Acheni ujinga nyie watu Africa tuna miungu yetu tuliyoitelekeza ndo maana kama tumelaniwa vile,dini za mashariki ya kati ni mizigo mizito tuliyojitwisha waafrika bila sababu za msingi,hivi tangu wazilete hizo dini huyo mungu wa wayahudi ashawahi kutusaidia zaidi ya kuongeza majanga tu?
Kipi kinatofauti kati ya Miungu yet waafrika na Miungu waliyokuwa wakiabudu wazee wetu wa kiafrika?
 
Yako mengi sana ya kujifunza kwenye suala la dini
Kwanza kabisa dini zetu za kitamaduni zilikuwa na miiko yake, nzuri na mibaya.
Mfano mauaji ya twins, sadaka za binadamu nk. Lakini licha ya yote hayo dini hizi hazikuwa static, yaan hakuna Mungu mmoja, bali wengi wenye masharti totauti tofauti na ukihamia eneo fulani Basi utalazimika kuabudu Mungu wa huko.
Hivyo basi huu pia ulikuwa mwanya wa Hawa wakoloni kutumia Mungu wao kuturubuni.
Tunachoweza kufanya kwa sasa ni kuendelea kuamini kwa jinsi kila mmoja anavyoona inafaa kwake. Maana zaidi ya miaka 500 ya kutawaliwa unategemea dini zetu tutazikumbuka? Ngumu sana.
Kama kwenye kabila lako au ukoo wako bado mnaendeleza dini za kitamaduni Basi mzi tathmini muone Kama zinafaa. Ila leo Mimi kutoka Singida uniambie kuabudu mila za wachaga kweli siwezi kabisa. Hapa kwenye dini kila mmoja afuate msimamo wake.
Ushauri. Waafrika tuache kurogana na kuoneana wivu wa kijinga. Hii ni shida sana. Baadhi ya maeneo Kuna wachawi hatari na hawapendi maendeleo ya wengine. Tupendane waafrika

Ukiona mpk tumerubuniwa ujue kichwani hatuna kitu maana wazungu hao hao walitawala India, Myanmar na etc ila wako na dini zao
 
Back
Top Bottom