Je,ilikuwa mpango wa Mungu Afrika kutawaliwa ili tupate Injili au kujua dini?

Miungu yenu inawasaidiaje kwa sasa?
 
Dini zimetumika kudumaza akili za mwaafrika. Mungu wa kiaafrika hakua na mpango huo.

Dini ni janga la Africa.
Africa ni sehemu tu katika dunia na zimepita jamii tofauti,sasa nashindwa kuelewa huyo Mungu wa afrika ana sifa zipi?
 
Kipi kinatofauti kati ya Miungu yet waafrika na Miungu waliyokuwa wakiabudu wazee wetu wa kiafrika?
 

Ukiona mpk tumerubuniwa ujue kichwani hatuna kitu maana wazungu hao hao walitawala India, Myanmar na etc ila wako na dini zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…