Zee la michongo
Senior Member
- Apr 2, 2025
- 121
- 308
Naskia ukiwekewa pesa ndefu wanabanKwanini wai ban ilhali ni acc yako
Connection ya hapa na pale from abroadπUpokee hela kutoka kwa nani usawa huu
Hapan mkuuZee la michongo lishauza zake ngada US.
DahNilijua account ya JamiiForums
Kwahiyo unataka chuma ikiingia tu, uchomoe zako 20M halafu hizo 80M potelea pote au sio??Hapan mkuu
Hapan mkuu usiwe na waswasAngalia ucjekuwa unapigwa
Inawezekan piaKwahiyo unataka chuma ikiingia tu, uchomoe zako 20M halafu hizo 80M potelea pote au sio??
Hawaban account kama wanataka maelezo wana freeze account ikiwa ina maana mpunga unauona ila huwezi kuutoa mpaka upeleke vieleezo walivyokuomba.Ukipokea pesa ndefu kutoka nje ya nchi like USA as a remmittance money mfano 100+million TSh .
Inaweza chukua muda gani hadi account wakaiban ?
Je mtu anaweza fanya someexpenditure kabla hawajaiban?
Je unaweza kuspend like 20m then ukareport account?
ππ
Msije sema bangi wakuu lete mawazo yako
Kama huauna vielelezo inakuajHawaban account kama wanataka maelezo wana freeze account ikiwa ina maana mpunga unauona ila huwezi kuutoa mpaka upeleke vieleezo walivyokuomba.
Aisee hata kutoa msaada wa ushauri si ajabu wadau wanaogopa. Unasamehe 80M kabisa, we kweli zee la michongoInawezekan pia
Maana yake ni pesa haramu.Kama huauna vielelezo inakuaj
Pamoja Tajiri wengine izo Hela tunazisikia tu cjui million 100+πHapan mkuu usiwe na waswas
Unashtakiwa kwa utakatishaji fadhaKama huauna vielelezo inakuaj